Mwanamke wa leo anadanganyika kirahisi sana

Mwanamke wa leo anadanganyika kirahisi sana

Nadhani hujawaelewa vizuri bado. Sio kama wanadanganyika kirahisi..yaani wanajua kabisa kwamba hapa anadanganywa lakini ana plan zake apate anachokitala.

Unadhani umefaulu kumdanganya kumbe mwenzio anafurahia umeenda kumdanganya.
Kwa hiyo huwa wanadanganya kuwa wamedanganyika?
 
Hapa ameondoka binti wa Kisukuma asubuhi hii, mama yake kaolewa kwingine na baba yake kaoa kwingine. Hawezi enda popote kati ya hizo sehemu mbili, solution ni kuolewa na ndio suala anaambiwa kila siku. Wa kumuoa nani sasa hajapatikana. Kodi yake inaisha, hana simu, kazi kaachishwa na boss aliyemkataa kimapenzi. Katoka uko kutafuta kazi, she's 21 na anajitegemea.
so sad umemshaurije binti huyo?
hapo kinachohitajika ni knowledge ya kumtoa kwenye huo wakati mgumu, na bahati mbaya sana yuko kwenye umri ambao ni uzoefu tu wa mtu mwingine, ndiyo utamsalimisha. Si uzoefu wake maana jambo hilo ni geni kabisa maishani mwake, kama ujuavyo mambo mageni huja na kishindo kikubwa.
 
Hapa ameondoka binti wa Kisukuma asubuhi hii, mama yake kaolewa kwingine na baba yake kaoa kwingine. Hawezi enda popote kati ya hizo sehemu mbili, solution ni kuolewa na ndio suala anaambiwa kila siku. Wa kumuoa nani sasa hajapatikana. Kodi yake inaisha, hana simu, kazi kaachishwa na boss aliyemkataa kimapenzi. Katoka uko kutafuta kazi, she's 21 na anajitegemea.
Daah hii mbaya sana, ukiweza msaidie bure mkuu
 
Ndiyo ilivyo kwa mwanamke wa leo hakika anadanganyika kirahisi mno mbele ya mwanaume.

Sio ajabu kwa siku hizi inachukua juhudi kidogo sana kwa mwanaume kulala na mwanamke.

Mwanaume yeyote ikiwa anaonekana kama ana vijisent vichache atampata kirahisi mno mwanamke wa leo.

Mwanamke wa leo anatamani sana kupata mwanamume ambaye anaonekana kuahidi chochote, na akijitokeza tu humkamata kabla hajachukuliwa na wasichana wengine.

Mwanamke mzuri wa leo, ngono itampeleka mwanaume kitandani lakini ngono hiyo hiyo haitakupa mume.

Ipo wazi, wanaume wanatamani sana kulala na mwanamke - wanawake wao wanatamani sana kupendwa na wanaume.

Wanaume wanaelewa hii ya nguvu na kujifanya kukupenda ili kukuonja tu, na akisha kukuonja anapotea na kukuacha njia panda.

Mwanamke wa leo, dau lako bora ni kusema HAPANA kwa ngono hadi usiku wa harusi yako. Ukilala na mwanaume kabla ya ndoa, you'll keep chasing him to keep him[emoji23][emoji23] utaendelea kumfukuzia mwanaume aliyekuonja huku hana mpango na wewe.

Mwanamke wa leo ikiwa unataka mwanamume asuluhishe uhusiano kwa kiasi, basi jitahidi kuwa mwanamke mzuri na mkarimu, mwenye sauti tamu, tabasamu nyingi, harufu nzuri, mwenye kuvaa vizuri, nywele za kupendeza nk, lakini funga miguu yako kwa nguvu mbele ya mwanaume anayetaka kukuonja tu.

Kwa nini mantiki hii rahisi haieleweki kwa wanawake wa leo?
Unataka kutupwa mara ngapi zaidi? Utaendelea kujiumiza mpaka lini? Kwa nini huwezi kusubiri kulala na mwanaume ambaye anajitolea kwako na atakuwa wako hadi kifo kiwatenganishe?
Kweli kabisa nakazia...wanadanganywa sanaa
 
Back
Top Bottom