Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 539
nyingine tena.....f**k....
hahaha tuliza munkari madame
mzabzab mi huwa naulizaga kinywaji anachokunywa mtu akipost kitu ikanokosha roho!mwanamke wa kweli ni yule ambaye
1) anakubali kuwa mwaname ni kichwa cha familia
2) anajua kabisa kuwa yeye analinda hshima ya mumewe
3) looks pretty at all times
4) full maujanja kwenye game la kugegedan
5) mpishi mzuri
mzabzab mi huwa naulizaga kinywaji anachokunywa mtu akipost kitu ikanokosha roho!
wat will yu take for a breakfast please!
Kwangu namtafsiri mwanamke wa kweli kuwa ni yule anayejitambua kuwa yeye ni mwanamke na kujua majukumu yake kama mwanamke ndani na nje ya nyumba!
kwangu ni yule anayeweza kuvumilia mambo yote magumu(mapito) yanayoweza kuipata familia
Kibailojia/kitheolojia;
Mwanamke wa kweli ni yule mwenye viungo vya uzazi vya kike.
Kijamii;
Mwanamke wa kweli ni yule mwenye sifa zote za kuwa mke. Mitazamo hutofautiana kulingana na jamii moja hadi nyingine. Wakati Uchagani, Uhayani, Usukumani, Umaasaini, Unyakyusani nk mwanamke wa kweli ni yule anayejua kufanya shughuli za nguvukazi. Udigoni, Uzaramuni, Ukwereni, Udengerekoni n.k mwanamke wa kweli ni yule anayejua wapi kanga ipo(kibwebwe) kila mdundiko ukipita...