Mwanamke wa kweli

Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,265
539
Mwanamke wa kweli ni
mtii na heshima ( bt t depend on the c2ation)
mwaminifu
upendo & so so.
Bt mwanamke wa kweli ni yule anaemdunda mumewe badala ya kimada akimfumania mumewe. ( ni mtazamo 2 unaweza weka vgezo vyako)
Je wewe ni mwanamke wa kweli?
 
mwanamke wa kweli ni yule ambaye
1) anakubali kuwa mwaname ni kichwa cha familia
2) anajua kabisa kuwa yeye analinda hshima ya mumewe
3) looks pretty at all times
4) full maujanja kwenye game la kugegedan
5) mpishi mzuri
mzabzab mi huwa naulizaga kinywaji anachokunywa mtu akipost kitu ikanokosha roho!
wat will yu take for a breakfast please!
 
Last edited by a moderator:
Kibailojia/kitheolojia;
Mwanamke wa kweli ni yule mwenye viungo vya uzazi vya kike.

Kijamii;
Mwanamke wa kweli ni yule mwenye sifa zote za kuwa mke. Mitazamo hutofautiana kulingana na jamii moja hadi nyingine. Wakati Uchagani, Uhayani, Usukumani, Umaasaini, Unyakyusani nk mwanamke wa kweli ni yule anayejua kufanya shughuli za nguvukazi. Udigoni, Uzaramuni, Ukwereni, Udengerekoni n.k mwanamke wa kweli ni yule anayejua wapi kanga ipo(kibwebwe) kila mdundiko ukipita...
 
Kwangu namtafsiri mwanamke wa kweli kuwa ni yule anayejitambua kuwa yeye ni mwanamke na kujua majukumu yake kama mwanamke ndani na nje ya nyumba!

That is why you are among my favourite.
Kikubwa mwanamke ajitambue na atambue majukumu yake, na sio wa kusukumwa na upepo au maoni ya watu ambayo hayako universal wala static. Juwa morals zako na wajibu wako, you are the best person sio mwanamke tu.

Kuna kifungu fulani cha biblia ambapo Mungu baada ya kukasirikia waisraeli alisema atatengeneza agano jipya ambalo amri zitaandikwa kwenye mioyo ya watu; hivyo huhitaji mtu mwingine kukuambia kuwa kumtukana mumeo ni vibaya au kuzini ni vibaya coz it is all written in your heart.
 
Kibailojia/kitheolojia;
Mwanamke wa kweli ni yule mwenye viungo vya uzazi vya kike.

Kijamii;
Mwanamke wa kweli ni yule mwenye sifa zote za kuwa mke. Mitazamo hutofautiana kulingana na jamii moja hadi nyingine. Wakati Uchagani, Uhayani, Usukumani, Umaasaini, Unyakyusani nk mwanamke wa kweli ni yule anayejua kufanya shughuli za nguvukazi. Udigoni, Uzaramuni, Ukwereni, Udengerekoni n.k mwanamke wa kweli ni yule anayejua wapi kanga ipo(kibwebwe) kila mdundiko ukipita...

we mkali
 
Kwangu mimi mwanamke wa kweli ni yule anayejitambua,
Anajua kubeba kilemba chake mwenyewe na kufikia hitaji chanya bila kusukumwa na mitazamo ya wengi.

Asojua kununa kila amuonapo mtoto . . . na badala yake humwonyesha ukarimu wa vitendo uloshamiri tabasamu la kweli toka rohoni!
 
Kama your mother alikuwa hivo basi sio wanawake wa kweli wote wapo hivo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom