Nataka watoto, sio mke, sababu nitazitoa kwa huyu tukayeelewana pamoja, ina maana kuwa nitabeba majukumu yote kama baba, baada ya miaka 7, watoto nitakaa nao mimi.ninacho maanisha hapa ni kuwa huyo nitakayezaa naye, atakuwa na uhuru wa kuolewa kokote baada ya kunizalia hao watoto wawili.