Ndiyo mkuu.... Kaoe bank teller uwe mpiga ramli mikoa yote ya Tanzania.Duh , hadi kazi ya bibi harusi ni kigezo
Una nini lakini wewe kaka πππNdiyo mkuu.... Kaoe bank teller uwe mpiga ramli mikoa yote ya Tanzania.
Nina kila unachohitaji dada....nisichonacho na wewe tu.Una nini lakini wewe kaka πππ
Sisi kama jf members tumeona unafaaSina sifa hata mojaπ