Mwanamke wa kuoa utamjua tu

kazi ya kutafuta mke ni ngumu zaidi ya kutafuta kazi
 
Sawa kabisa... Za zingine anakushirikisha kwenye mambo ambayo siyo kama hawezi kuyatatua mwenyewe hapana... kwa hiyo mwanaume unatakiwa kujiongeza...

"Attention- Love,care, your time, personality,"

"Security- Good provider"
 
Kuna kauongo fulani hapo. Mwanamke akae kama boga tu asimwambie mwanaume anajisikia kunywa soda au malta?

Wanaume sisi ukituzoesha tabia hiyo siku tukioa na ukaanza kuuliza utasikia ooh mwanamke huyu siku hizi amebadilika hafai na bla bla kibao
 
Mkuu umesema vema...japo daah haya mambo hayana formular
 
Humu wanasemaga wanaoolewa ni form 4 tu,wenye digrii hakuna kitu,sasa sijui Leo watasemaje
Ni kutokana na kwamba wanawake wengi wenye degree hawakubali kuolewa na mtu mwenye maisha ya kawaida. Wanakuambia #Hapa Pesa Tu# sasa huyo ukimuoa si ni pressure ya kupanda na kushuka Mwanaume unajitakia?
 
Ni kutokana na kwamba wanawake wengi wenye degree hawakubali kuolewa na mtu mwenye maisha ya kawaida. Wanakuambia #Hapa Pesa Tu# sasa huyo ukimuoa si ni pressure ya kupanda na kushuka Mwanaume unajitakia?
Wao wenye digrii wanakuaga na pesa au hawana??kosa liko wapi kumchagua mwenye nazo kama na we unazo
 
we bado hayajakukuta
wanawake hawana fomula unaweza ukasema ndio huyu sasa oa uone show
 
Bado unaishi kwenye zama za ujima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…