ntabudjo
Member
- Jun 1, 2016
- 70
- 69
Tangu tuingie kwenye mahusiano na huyu mtoto wa kinyawezi, nimekuwa nikipata shida sanaa hasa wakati nikiwa nae coz, mara nyingi anapenda mimi nimchagulie kila kitu. Hata nikimuomva papuchi ananijibu as you wish...... Yaaani kila kitu anasema yes.....Inanipa wakati mgumu sanaa kutambua anapenda nini na anachukia
Nimejaribu kumshauri na kumwambia kama mimi sio mwalimu wake katika maish, tunafundishana wote kwa pamoja kwa maana wote hatufahamu vizuri huu mchezo wa mapenzi.
But haelewi kabisaaa. Akiwa na marafiki zake wanaweza panga mambo yao freshi. lla akiwa na mimi, anataka nipange kila kitu but naogopa sanaa kumpangia kwa maana tamaduni.
Naombeni ushauri nifanyeje ili mambo yakae sawa. Coz namuelewa sanaaa huyu mnyamwezii.