Hiyo sio kashfa Duduwasha ni kweli kuna tabia hizo kwenye hayo makabila, lakini hutaweza kujitetea kwa yeyote akakuelewa kama wewe ukijikuta umezaliwa katika hayo makabila.
Jamani umechelewa,Nimeshawahiwa.bado hujaamini tu?halafu umesema wewe ni chotara wa hayo makabila ya kirang, naomba uwe wifi yangu ili nione kama kaka yangu ataibiwa kama wengine wnavyojaribu kutuaminisha humu...unaonaje? ili tuwathibishie kuwa siyo ukweli....
kwanza kuja humu kumba ushauri wa nani wa kumuoa kwa kigezo cha kabila lake bado ni kuonyesha mapungufu yake, ina maana yeye ameshindwa kutambua mtu anayemfaa mpaka aje humu kuomba ushauri tena wa ikabila? bado tuna safari ndefu sana...
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
we uliona wapi hayo mambo? ina maana hawafai kabisa?...sasa mbona wameolewa kwa wingi ijini? ina maana waliowaoa wajiandae kuangua vilio kwa kuibiwa?usidhubutu wala kujaribu kwendakuoa huko kabisaaaaaaaa......kwanza wao kwa wao kunyimana hakuna kabisa,na pili siyi siri,wanawake wa kirangi wanapenda sana mambo ya shirki na kuwainamisha wanaume...nadhanai hapa umenielewa...i've witnessed mengi juu yao..na usipokuwa makini hatokuja mtu kwako au nduguzo kuwa wanakuja kukusalimia..
mhhh...ya kweli hayo?...kwa hiyo wa kwako alikuwa anamegwa na wanaojiita kaka zake wakati wewe ukiwa mahali fulani?? kama ndio hivyo sina la mkusema kuhusu hao viumbe...Kimbia kaka mm niliponea chupu chupu wanaitana kaka kumbe ni hawara
una maana kuna waliotulia kutoka katika hayo makabila??
karibu Goguryeo...wengine tunajilia raha tu huku, tulishampata Yuri mambo yanaenda kama tulivyopanga. we bado uko Buyeo? msalimie sana Daeso na Yongpomambo Mrs jumong......
me lyk ua avatar so much jaman........
asavali hata wewe umemshangaa...Wewe kama umependa owa tu hakuna kabila lisio na kasoro....Na hakuna kila kabila linatabia moja.
karibu Goguryeo...wengine tunajilia raha tu huku, tulishampata Yuri mambo yanaenda kama tulivyopanga. we bado uko Buyeo? msalimie sana Daeso na Yongpo
huku buyeo mambo magumu, Daeso kawa mbogo baada ya kukataliwa na sosunho, ana hasira na mumeo ile mbaya, yongpo kama kawaida kawaida anapeta tu na vimwana wa palace(maids), hapa nilipo niko mbion kukimbilia shila naona huko maisha yana afadhali nikikumbana na Deokman( seondeok), ila misil nae ananitia woga........