Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Haahaa...nashukuru Nambe. Borat from Uzhbekistan. Nitaweka Avatar soon.
Why do we close our Eyes
When we Pray
When we Cry
When we Dream
When we Kiss
Because the Most BEAUTIFUL thing in life are not seen.
But felt by the heart!
kumbuka
huoi kabila unamuoa huyo unaemuoa ........
Mkuu,mkuu,umeicheki ile movie,ni kali lakini naona haijatamba inavyostahili!ni kazakhstan,unakumbuka alivyomui-introduce sister wake?
wanawake wakirangi na wambulu,chupi zao ziko magotini...ukitongoza mwanamke wakabila hizo hakikukataa,kaogee na maji ya bahari.
Nambe,i am in love with your poetic way of commenting!
waaaaaaaaaaaoh.......
thanx mkuu, n karibu..........
pamoja,unatunga mwenyewe?utakuwa una kipaji kikubwa,pengine kuliko mrisho mpoto!
nope, most of them ni quote za watu tu.........
huwa napenda kuzisoma coz napenda mashairi..........
zinanisaidia mm so nawapostia wengine ambao naamin wanazihitaj pia.......
Nambe na mimi nahitaji maujanja
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu