Mwanamke wa kibali

asante kwa somo mama..be blessed.

ila wanaume wa kitz..baadhi utawafanyia hayo yote na hatoyaona...ndoa itaendelea kuwa chungu..

kikubwa uvumilivu tu!
Tatizo ni kwamba hujafanya harafu umeshaweka negative altitude kuwa utafanya na hatakuthamini

Kweli wanawake ni wachache licha ya kuonekana kama wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua watu huwa wanashangaza sana

Mfano ndo huu

Yeye anajua Mungu alimwandalia kwa hiyo ni halali yake she can do whatever

Mama pitia upya biblia mume ndo anayeandaliwa mke sio mke kuandaliwa mume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo zuri bibie,sijui lilinipita wapi! ila sasa kwa jinsi mambo yanavyoenda kutimiza haya yote kazi inahitaji nguvu ya Mungu lol
Ni kweli yahitaji nguvu za Mungu na kujituma kwetu my dear...

Bila kujituma na kua mvumilivu na busara hakuna muujiza hapo...

Tujitahidi kusimama nafasi zetu pasipo mashindano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua watu huwa wanashangaza sana

Mfano ndo huu

Yeye anajua Mungu alimwandalia kwa hiyo ni halali yake she can do whatever

Mama pitia upya biblia mume ndo anayeandaliwa mke sio mke kuandaliwa mume

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aliandaliwa mke ndo inabidi amtumie huyo mke kwa staha na kwa mujibu wa biblia. Nachokataa kwako n kusema inabidi mke amshukuru eti kaondoa aibu ya kutoolewa, that is a big NO.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona hata sehem moja inayohusu wanawake kuomba pesa. Sijui wanatumia andiko gani kufanya hili...

Barikiwa Valentine
Kula kwa jasho.
Ewe mwanaume umpende mkeo...

Hayo ni maagizo, yaani ni lazima. Kwahiyo hata hatupaswi kuwaomba mnapaswa mtupatie tu.
 
Kuna vitu ni rahisi kuviongea ila kiuhalisia ni ngumu sana kuviapply!! Mfano kumheshimu mtu bila sababu, Biblia iko wazi, agizo limeanza kwa mwanaume ampende mkewe.......

Kumpenda mkewe ndio msingi mkuu, nae mke atamtii mumewe. Ni ngumu mnoo kumtii mtu "asiyekupenda". Mungu alitupenda sisi kwanza hivyo hatuna budi kumtii.

Wanaume mmeshikilia msingi mzima wa mahusiano na ndoa, ni vile mmeshindwa tu kuitambua nafasi yenu katika hili mmeshupaza shingo tu.

Heaven Sent
Nalendwa
Neybright
demi
MBITIYAZA mkuje tupate darasa.
 
Leo umekula nini?? Unatema madini tuu
 


"..Ni vigumu mno kumtii asiyekupenda"

Giiirl!!...Saantee!

[emoji122] [emoji122] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji108] [emoji108]

Hata linapokuja suala la heshima, mara nyingi msisitizo huwa kwetu kuwa tuwape heshima au tuwe na heshima na wanasahau kuwa ni vigumu kumpa heshima mtu ambae hana heshima to begin with..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…