BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Namba 5Sijaona hata sehem moja inayohusu wanawake kuomba pesa. Sijui wanatumia andiko gani kufanya hili...
Barikiwa Valentine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe wasema!Namba 5
Kuweka nyumba ktk utaratibu ina maanisha na kucontrol.mapesa yote ya nyumba (familoa)
[emoji647][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji126][emoji126][emoji126]
Ndo vzr ili ushindani upungue[emoji108]Nikikutongozea hapahapa wenye wivu watajinyonga my dear![emoji24][emoji24][emoji24]
Kubwa ni kusimama na kufanya wajibu wako my dearasante kwa somo mama..be blessed.
ila wanaume wa kitz..baadhi utawafanyia hayo yote na hatoyaona...ndoa itaendelea kuwa chungu..
kikubwa uvumilivu tu!
Naendelea kujifunza na kuyatendea kazi[emoji4]Mada kama hizi huwa hazina wachangiaji....hata LIKES utaambulia chache sana! Vipi wewe Valentina unafuata ulichokileta hapa?
[emoji1] utafia kwenye chura weweKwa upande wangu kama mwanamke chura ipo wala hana haja ya kunifanyia hayo madubuasha yote hayo!
Wewe chura ipo mwaya?
Ukilishika hili somo litakusaidia sana bestMh Asante kwa somo Murua.
Mie sikubali hadi nikukague!
Nawe hakikisha upo hivo best ili muende sawaSafi nimeipenda na akipatikana mwanamke wa hivyo ndoa kesho nafunga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daby ni nani hata nipitie kwake?
hahahaaaaa, umenimaliza[/URmwanamke...alk.com/byo?rid=77694]Jamii Forums mobile appSijaona hata sehem moja inayohusu wanawake kuomba pesa. Sijui wanatumia andiko gani kufanya hili...
Barikiwa Valentine