Ndugu alikufanya nini tena mbaka ukaamuwa kumpa kibanoKuna mmoja nilimfumua makofi mitaa ya liberty mpaka leo hii akiniona dukani kwake huwa ananinyenyekea sana ukiwaendekeza hawa maghabachori ni wapumbavu
we jamaa mtata sanaAlikuwa ananizuia kupaki kagari kangu mkuu nilikuwa na mahitaji maeneo yale akaanza kunitolea lugha chafu nikaona isiwe noma sana nikamshushia makofi halafu nikawahi polisi kuwa kuna mhindi kanitishia bastola
Mkuu mimi siyo mtata ila sipendi dharau na kuonewa pasipo sababu napenda amani na kuheshimiana
Hata wenyewe kwa wenyewe jamaa wanabaguana hawahuu ni ubaguzi hatari ,india nao ni wabaguzi wa underground