miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Hater leo unatiririka humu...inaonekana kidogo leo mambo sio mbaya....manake hater hater
hater msimu wa mbege umeisha vidole vinafanya kazi hater
Hater leo unatiririka humu...inaonekana kidogo leo mambo sio mbaya....manake hater hater
then na wewe unatumika.vya bure peleka samaki samaki tu pengine itakula kwako
natumikaje ? ujipendekeze alafu unitumie unaakili kweli wewe? .... unikute bar alafu ununue mwenyewe kwa kujishaua kwako alafu utegemee utanitumia forget
miss chagga, ningeshangaa usingeuliza swali hilimaana ya mke mwema ni nini?
Huyo anaweza kuwa mwema kuliko wakeshao kwenye nyumba za ibada.
miss chagga, ningeshangaa usingeuliza swali hili
Endekeza hayo siku moja utajuta.Ukinywa zangu unatumika tu hata kwa bludoza.wengine hatunywewi.kawanywee wasiojiweza.pesa nitafute nyuma ya risasi za kova then uniletee za uzuri? pole sana.
basi ukome kulipia bill zisizokuhusu ..... unikute bar ujipendekeze kuninunulia alafu utake kunitumia nyoooooooo. utachora chini
nakataa jamaa kakomaaa ya nini kubembelezana we utajijua nimekuja peke yangu umenikuta .. si hitaji huduma yako .. unajipendekeza to hellndoo maana nasema kama una mtindo huo siku moja tukikutana .utajuta. kwa nini husitumie fedha zako.ukileta za ujinga unamfuata amina chifupa. acha kuchezea fedha za watu. kama hutaki kutumika,una fedha zako,kataa offer basi.labda unaishi mkoa
ndoo maana nasema kama una mtindo huo siku moja tukikutana .utajuta. kwa nini husitumie fedha zako.ukileta za ujinga unamfuata amina chifupa. acha kuchezea fedha za watu. kama hutaki kutumika,una fedha zako,kataa offer basi.labda unaishi mkoa
ha ha ha ha embu lijibu basi
wewe si ndio unampeleka,
Kabla ya kujibu swali lako,hivi wewe unayeenda club mara kibao unafaa kuwa mume mwema?
Hata mzenji anapenda klabu...Kwa nini asiweze?
Mwenda klabu anaweza akawa mwema kuliko hata mwenda kanisani!
Wema hauchagui.
Hata mzenji anapenda klabu...