Wadau Mwanamke ambaye kila mara tunaenda sehemu za starehe anaweza kuwa Mke mwema? mwenye uzoefu na haya mambo jamani.
Wadau Mwanamke ambaye kila mara tunaenda sehemu za starehe anaweza kuwa Mke mwema? mwenye uzoefu na haya mambo jamani.
Siku hizi mwanamke wa club ndio huyo huyo jumapili yupo kanisani.
pesa nitafute nyuma ya risasi za kova.
hivi mwanaume tunaeenda nae club kila siku anafaa kuwa mme kweli? hili ndio jibu
Heri ya mwaka mpya...!
asante mnduu, heri ya mwaka mpya kwako pia. uko mjini? ninahitaji msaada wa mwanaume mwenye nguvu na bausa kama 5 hivi nina mdeni ananionea
Mnduu, nani huyo unamdai afu anakunyanyasa wakati mi nipo? Hem tutaftane tumkomeshe..!!
patamu eh? Watu wanakaba kila angle.
mhaya mmoja hivi ananiletea dharau toka june mwaka jana hadi leo hela ndeeefu sana .anatake advantage umbali ila nataka nimfurahishe na surprise... nataka nimtafutie nguvu ya uma wakati wa kumface
Endekeza hayo siku moja utajuta.Ukinywa zangu unatumika tu hata kwa bludoza.wengine hatunywewi.kawanywee wasiojiweza.pesa nitafute nyuma ya risasi za kova then uniletee za uzuri? pole sana.
wengine tunaenda kwa pesa zetu.. ila UKIJIPENDEKEZA TUNATUMIA ZAKO.
Huyo anaweza kuwa mwema kuliko wakeshao kwenye nyumba za ibada.
Siku hizi mwanamke wa club ndio huyo huyo jumapili yupo kanisani. So, Tatizo lazima libaki pale pale.