Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Kwani wakwe hawavai chupi?Jamani mkienda ukweni mnafanyaje katika maswala ya kuanika pichu?
Kwahiyo kwenye machine unachangaya za kwako, za mume wako na za watoto?waliotengeneza washing machine sio wajinga...
kama unayo nyumbani.. why uumize mikono na kupoteza muda...
hizo chupi kuzivaa sio utamaduni wetu africa.. wazungu tunawaiga.. sasa hao tunaowaiga wanafua kwa mashine..
kama wewe maskini huna mashine... usichukie walionazo wanapofulia kila kitu
Kwani wakwe hawavai chupi?
Jamani mkienda ukweni mnafanyaje katika maswala ya kuanika pichu?
Kama unafua kwa washing machine ina maana unazikusanya mpaka zifike lundo? Au unafua kila siku?Mada yako sijaielewa unasisitiza tusifulie pichu kwenye washing mashine?au pakuanikia ndo shida maana hiyo mashine ulioitaja inawash kuanika nachagua me pa kuanika
Huwa nikienda ukweni ninazihifadhi kwenye mfuko mpaka nirudi kwangu.Kamba hamna ukweni au
Hizo unazifua kisha unazianika kwa kuzifunika kwa kitenge au kanga.Jamani mkienda ukweni mnafanyaje katika maswala ya kuanika pichu?
Ndugu hata ukiwa kwenye mambo yetu yale uwiii si uvundo jamanii harufu yakeHuwa nikienda ukweni ninazihifadhi kwenye mfuko mpaka nirudi kwangu.
Ziwe nyingi kiasiKama unafua kwa washing machine ina maana unazikusanya mpaka zifike lundo? Au unafua kila siku?
Nikiwa kwenye mambo yale inabidi nifue au nizitupe.Ndugu hata ukiwa kwenye mambo yetu yale uwiii si uvundo jamanii harufu yake
Huwa nikienda ukweni ninazihifadhi kwenye mfuko mpaka nirudi kwangu.
Ukweni hatukai sana, tunakwenda wiki moja na kuondoka.Kama ni safari ya mda mrefu utarundika tu bora ufue na kuzifunikia khanga/kitenge ili zisionekane lakini hii pia ni kulingana na mazingira ya ukweni
Kama unafua kwa washing machine ina maana unazikusanya mpaka zifike lundo? Au unafua kila siku?
Why utupe unaomba sabuni unafulia Chooni kisha unaanika nje kwa kuzifunikaNikiwa kwenye mambo yale inabidi nifue au nizitupe.