Right is right even though no one is doing & wrong is wrong even though all people are doing, usitake kuaminisha watu phalsapha yako ya zinaa, kuchepuka itabaki kuwa uovu tu hata kama wanaume wote chini ya jua watachepuka ila hawezi kubadili dhambi kuwa haki, never.Kuchepuka hawatukatazi wanachotaka heshima ifate mkondo
Kabisaright is right even though no one is doing & wrong is wrong even though all people are doing, usitake kuaminisha watu phalsapha yako ya zinaa, kuchepuka itabaki kuwa uovu tu hata kama wanaume wote chini ya jua watachepuka ila hawezi kubadili dhambi kuwa haki, never.
Though nakubaliana nawe kwa 100%, mwanaume mwenye hofu ya Mungu hatochepuka, ila je wako wangapi? Nadhani kwenye 1000 utabahatika sana ukiwapata wawili. Kuna kitabu kinasema, kwa nukuu isiyo rasmi, kuwa UAMINIFU WA MWANAUME HUTEGEMEA HIS OPTIONS.Hivi huu ufahamu wa kishetani aliwapaga nani?
Hata kama ni dhambi mkuu pia acheni nature ifanye kaziRight is right even though no one is doing & wrong is wrong even though all people are doing, usitake kuaminisha watu phalsapha yako ya zinaa, kuchepuka itabaki kuwa uovu tu hata kama wanaume wote chini ya jua watachepuka ila hawezi kubadili dhambi kuwa haki, never.
Kwel kabsaa kuzin sio dhambi kubwa (japo kwa Mungu hakuna dhambi kubwa na ndogo) maana kuzini ni matokeo ya dhambi ya tamaa na kukosa heshima. Kama leo hii ukiweza kuzishinda dhambi za tamaa na kiburi bas hauto angukia kwenye uzinzi tenaBaba Mtakatifu (Papa) juzi ndo alitupiga Wakatoliki kwa kitu chenye ncha kali kichwani eti kuzini ukiwa ndani ya ndoa siyo dhambi kubwa.