Mwanamke usimfanyie mwanaume yafuatayo

Mbona mwanamke ana don't (s) kibao, mzani hauja-balance. Mkumbuke mwanamke naye ni binaadamu, ana roho ya nyama, anasikia maumivu anapotendewa ndivyo sivyo. Hawezi kutekeleza yote hayo kama hautamtreat as a lady. Play your part first, then all can be done.

hapo madame umenena,
 
namba 1&4 hapana,fanya/rudia utafiti wako vizuri ikiwezekana tuone upate data. Kuhusu pesa unadhani tutapendezaje bila pesa,...ubahili utawakost!!

Namba 4 hapa, haizungumzwi pesa, bali ni penzi, yaani mwanamke asipende kutoa penzi mara kwa mara kwa jamaa wake, ila tu iwapo akiprove huyo jamaa kazidiwa haswaa... Hii hoja ni nzuri, ila ni kero zaidi kwa wanaume.
 
Umeona eeeeeh ngoja team ije hapa kama hajakimbia

Hakuna cha team wala nini...

9. Waache kukigeuza kitanda kuwa sehemu ya kufanyia kesi a.k.a mahakama... Yaani ukitokea tu kitandani basi wanaanza mikesi yao... Ya mtu umekimbizwa mchana kutwa unategemea ukifika kitandani utapumzika na kulala, lakio ndo wanapageuza mahakamani.... Sasa itokee wakati mlalamikaji anajieleza wewe kwa kuchoka ukapitiwa na usingizi halafu agundue hilo... Yaani hapo sasa kitanda kinageuka kuwa ze hegi....
 
Unashangaa pedi ya mwanamke ulishawahi kumkanda papuchi mwananamke aliyejifunguwa weye! Wanawake waoneni wamevaa na wanapendeza mh!
 
Unashangaa pedi ya mwanamke ulishawahi kumkanda papuchi mwananamke aliyejifunguwa weye! Wanawake waoneni wamevaa na wanapendeza mh!

Tiririkaaaaa

=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Hakuna cha team wala nini...

9. Waache kukigeuza kitanda kuwa sehemu ya kufanyia kesi a.k.a mahakama... Yaani ukitokea tu kitandani basi wanaanza mikesi yao... Ya mtu umekimbizwa mchana kutwa unategemea ukifika kitandani utapumzika na kulala, lakio ndo wanapageuza mahakamani.... Sasa itokee wakati mlalamikaji anajieleza wewe kwa kuchoka ukapitiwa na usingizi halafu agundue hilo... Yaani hapo sasa kitanda kinageuka kuwa ze hegi....

haha ha hyo kaliii
 
Tafadhari, haya maoni yanaweza kuwa mazuri kama yakitumika kuboresha mapungufu, na tuwe makini. Mlio kwenye ndoa pengine mengi ulikua huyajui, usije ukayaanzi sha from no where. hasa kuombana na kunyimana, utazua kesi. Na hii na 7, 6 kuweni makini nayo hasa walio kwenye ndoa
 
Haha aksante ila namba 4 mie sijaielewa sana.........inakuwa applied hata ndani ya ndoa au? how? Baba Chanja jiandae na madenguo
 
Back
Top Bottom