Mwanamke usimfanyie mwanaume yafuatayo

Mwanamke usimfanyie mwanaume yafuatayo

Hakuna cha team wala nini...

9. Waache kukigeuza kitanda kuwa sehemu ya kufanyia kesi a.k.a mahakama... Yaani ukitokea tu kitandani basi wanaanza mikesi yao... Ya mtu umekimbizwa mchana kutwa unategemea ukifika kitandani utapumzika na kulala, lakio ndo wanapageuza mahakamani.... Sasa itokee wakati mlalamikaji anajieleza wewe kwa kuchoka ukapitiwa na usingizi halafu agundue hilo... Yaani hapo sasa kitanda kinageuka kuwa ze hegi....

This is for real........................................... ukweli uso pingika. Mi sielewagi aisee............... nitamute, nikishatii kiu ndo tuanze ligi
 
1. Usimuonyeshe "Pedi" yako
Damu kikawaida huwa inawatisha sana baadhi ya watu, kumuonysha pedi bwana wako unamharibu kisaikolojia, kwa maana inamjengea kuhisi hali ya hatari, akiiona hiyo siku akitaka mambo anaweza kuwa anavuta picha ya hali ya hatari aliyoiona kipindi kile na hivyo munkari wa mamboz kumshuka-

2. Kamwe usimkejeli kwa kauli kama vile "mwanume mwenyewe mwanaume gani", "katika wanaume na wewe mwanaume?"

Hakuna furaha aisikiayo mwanaume kama kujua kwamba kuna jike linamuona yeye kuwa ni kidume kwelikweli, ukimfanya mwanume ajihisi kama siyo mwanaume kweli, atatoka aende sehemu kujiprove kwamba yeye kweli ni kidume, iwapo atapapata huko, jua mapenzi na trust yote ataihamishia huko!

3.Usithubutu hata kiutani ku"imply" kwamba watoto si wake!
Hii humfanya mwanaume ajihisi unyonge sana, matokeo yake atakuchukia wewe, na watoto, na si ajabu akaanza tabia za ulevi, kukuabuse, kuwapiga watoto.

4. Usimpe mambo kila wakati atakapo

Mwanaume hujihisi ufanisi na hamu pale anapokula lakini kwa kukihangaikia kidogo, siyo kila mara anapokuomba basi wewe unampa tu, saa nyingine mbanie kidogo, ukiona jamaa hajiwezi then mpe, ukibana sana ataitafuta kwingine, na ukimpa kila wakati atakuwa haitaki sana pia.


5. Usiache/usitupetupe ovyo ache nguo za ndani-

Inabidi umjengee hisia man wako kwamba, ile kitu anaitumia tu, na unampa kwa mapenzi tu lakini haimiliki yeye, unapoanza kutupa tupa nguo za ndani, inamjengea hisia za "kuimiliki na kuijua saana".-
Na pia nguzo nyingine za ndani zipo out of shape kabisa, nyingine zina hali fulani mbaya, ukiziacha hizo akaziona then anaassociate ile hali yake mbaya na papuchi yako, matokeo yake stimu zinamshuka kabisa anakuwa hana hamu nayo.

6. Usiache akuandae yeye tu, nawe muandae pia
Inapokuja katika mambo fulani, usijilaze tu kama bosi, mwandae pia na mwenzio, mambo yashabadirika jamani siyo kama zamani, watu wa Zamani mwanaume ukisikia sauti tu, mambo tayari, lakini wengi siku hizi wanalalamika hata wakiiona papuchi hivi waziwazi bado mizuka haipandi kiulaini!.

7. Usitumie maneno kama " Leo naona umenichezea tu", " Leo umechemsha"
Maneno hayo humuingia mwanaume kunako ubongo na kumvuruga kabisa, unamtia hofu sana, na si ajabu ukaanza kuona anakukwepa, mpe positive words, kama "aisee umejitahidi", " ahsante mpenzi nimefarijika kwa mapenzi yako", " Naona leo umenipania", just anything positive!
Hiyo namba nne sitaki hata kusikia...achilia mbali kuona....the answer is kwenuuuuuuuuuuuuuuuu sitaki jam!
Ninachotaka ni kwamba kila nikibeep tu...hii hapa Baba....
 
JF bwana, nina kama mwezi sasa FB siingi kabisa cause vya kujifunza huko vichache sana, Conglatulation kwa mwanzilishi wa uzi, Mamndenyi simwoni humu, uko wapi mummy!?
 
Wakwangu akitabasam mara mbili najua anatakakuniomba pesa....
 
namba 1&4
hapana,fanya/rudia utafiti wako vizuri ikiwezekana tuone upate data.
Kuhusu pesa unadhani tutapendezaje bila pesa,...ubahili
utawakost!!

utawacost sio uongo... Na nyie mnaowaita wapenzi wenu mademu mnadhani tunapenda hvyo...
 
katika zoooooooooooooooooooote namba mbili ina ukweli kabisa, wanawake zingatieni
 
poa tutaomba wenzio wasio mabahili.....!!!
Ndo shida nyingine hii ya wanawake walio wengi... Yaani akitaka kumkomesha mumewe/kiboifrendi eti anatumia mwili wake... SASA HAPO NDO UMEMKOMESHA NINI..??? Unajuwa kumkomesha mtu halafu yeye hajui kama anakomeshwa, wala hujafanya lolote hapo... atakayehangaika ni wewe mwenyewe..
 
Am watching you ujue
Why hujani-watch kwenye post yangu namba 25.??? Maana hiyo inakuhusu sana tu... We mikesi yako yoteeee unailetaga tukiwa kitandani tu... Yaani kwako kitandani ndo ze hegi yako.. Yaani unangoje amuda wa mgegedo ndo unalianzisha, sijui ni namna ya kukimbia kugegedwa siku hiyooo...???!!!

 
Why hujani-watch kwenye post yangu namba 25.??? Maana hiyo inakuhusu sana tu... We mikesi yako yoteeee unailetaga tukiwa kitandani tu... Yaani kwako kitandani ndo ze hegi yako.. Yaani unangoje amuda wa mgegedo ndo unalianzisha, sijui ni namna ya kukimbia kugegedwa siku hiyooo...???!!!


Nakusubiria leo ndio uone.......nimekusoma kimya kimya ila ukija

ndo nataka nikuonyeshe kuwa sijapenda kuja kunianika hum........na nimegoma kugegedwa.......
 
Haaa, Heaven on Earth, huyu ndio yule uliyesema naniu yake huaga inapwaya au mwingine.? Samahani kama nitakua nimekuharibia!
Nakusubiria leo ndio uone.......nimekusoma kimya kimya ila ukija

ndo nataka nikuonyeshe kuwa sijapenda kuja kunianika hum........na nimegoma kugegedwa.......
 
Haaa, Heaven on Earth, huyu ndio yule uliyesema naniu yake huaga inapwaya au mwingine.? Samahani kama nitakua nimekuharibia!
Kila kinachoingia kina saizi ndogo kuliko mahala kinapoingia... Haya ya kubana sijui kupwaya ni mbwembwe tu..... Maana kikiwa kikubwa kulipo kinapoingia, maana yake hakitaingia, na vikiwa na ukubwa sawa hakitaingia.... Sasa kama wewe umeshawahi kuingiza, basi ujuwe na wewe kigegedeo chako ni kidogo kuliko kigegedwa
 
Nakusubiria leo ndio uone.......nimekusoma kimya kimya ila ukija

ndo nataka nikuonyeshe kuwa sijapenda kuja kunianika hum........na nimegoma kugegedwa.......
Umegoma forever au leo tuu...??? Maana kama ni leo tu naweza kusubiri
 
Back
Top Bottom