Mwanamke urembo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke urembo..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Atoti, Jan 12, 2011.

 1. Atoti

  Atoti Senior Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  WanaJF naomba nifikishe haka ka kero naamini ujumbe utafikia wengi..

  Jamani wanawake wenzangu when it comes to make up naomba tukumbuke usemi wa "Less is more" mambo ya kukandika bila kipimo mpaka mtu unafanana na mwanasesere inatia kinyaa kwa kweli.. Wale wa mikorog ndo hata sijui niseme nini.. Tuwahurumie na hao better halves wetu wanaotukiss everywhere, maana tunawalisha machemical though some make up ni edible but duh tupake kwa kiasi jamani kila kitu kwa kiasi.. Nawatakia 2011 yenye heri na fanaka.. stay beautiful!! :tea:
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wengine kujikoroga ndo fani yetu jamani!!Nwyz nikipaka kidogo si sawa na bure tu??Maana mi napaka ili angalau uso ubadilike kidogo sasa nisipopaka nyingi sioni tofauti!
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  You are right,with make up LESS IS MORE,though there are some facial skin,MORE could be less!
   
 4. Atoti

  Atoti Senior Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwa kweli ikizidi it looks too fake badala ya ku enhance beauty inakuwa disaster usoni..
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  kwa nini ujirembe jaman?
  mimi nilikaaa chn nkatafakari sana nikaona haina haja ya kujiremba sijui kujikomlikate ahh HAINA HAJA..
  ..NIMECHUNGUZA SANA,NIOMESOMA VJARIDA TOFAUT NA NIMEULIZA WENG MWISHOWE NIKAUGUNDUA HAINA HAJA...
  ..UZRI WA MTU NI ROHO NA AKILI YAKE SI UREMBO WANJE SJUI MA MAKE UP HAPANA...
  ..kuna watu ukiwaona km malaika wamependezaaa wanavutiaa lakin ukimsogelea ukaanza kuongea nae ahh unagundua NI MCHAFU NI BALAA..anaongea pumba,ana roho mbaya ,tabia mbaya,hajui kuonhea na watu in shot HAJUI AONGEE WAP SEHEMU GAN NA NANAN kitu kinachomfanya akimbie na watu na wala hanogi tena kuwa karibu naye....
  ....APO NDO NIKAGUNDUA KUWA MREMBO TU HAITOSH BALI TWAITAJIKA TUNOE UTU NA TULILIE HEKIMA NA BUSARA NA ROHO NZURI PIA ILI tuweze kujua tufanye nini wap na nanan...UZURI WA MTU UPO NDAN SI NJE...

  twaitajika tunoe na turembe
  akili
  utu,huruma na unyenyekevu
  busara na hekima
  ILI TUWEZE KUPENDEZA ZAIDI
   
 6. Atoti

  Atoti Senior Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Umenena mami, our inner selves matter than umayasa.. Ingawa watu kuacha kujiremba ni shughuli pevu ndiyo maana nikakereka na kuandika hata hao wanaopaka makeup wapake kwa KIASI!! Mtu anaingia ofisini na lipstick nyekunduuuuuuuuu utadhani ny*o la baboon kama anaenda mawindoni.. Yaani anavyoji present na mahala alipo tofauti kabisaaaaaaa.. Inasikitisha na kutia kinyaa..
   
 7. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  chunguza kioo anacho tumia ........ !!!!!!!
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  dah ndg yangu umenikumbusha kituko kimoja uko mitaan wakat nazurura maofisin mwa watu nkakutana na sekretar ana miika km 50 ivi yan alipaka wanja uo kuanzia pembe mpk pembe +na shedooo tiii bas kjisura kikabakia km kinyan kitoto yan sikuvumilia nikaangusha kicheko cha nguvu akamind akaniuliza wacheka nini bnt nikamwambia ahh mesej apa imenichekesha...

  sjui kwanini watu wanapenda kujichora kupita kiasi aahh unajichora zaid ya raman..
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  like...:usa::usa:
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mwanamke anayetumia kioo kikubwa akitoka nje anachukiza Ili upendeze tumia kioo kidogo kinaongeza concentration ya targeted site
   
 11. Atoti

  Atoti Senior Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hahahahaaaa my point exactly yaani umenivunja mbavu na kunikumbusha taswira kibao.. Mh kazi ipo..
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  halafu kweli.
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hata mimi wananikera. Uso mmoja unapakwa midude kibao. Kisa umevaa nguo ya njano basi na mimake up yako ya njano mashavuni.
  Mimi jitu la hivyo hata kama ni shostito siongozani nae.
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nalipa nauli ya daladala ltangulie, halafu nilikute limeshaoga, ha ha haaaaa!
   
 15. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mie mbona nikitumia haya madude uso unatoka manundu :Cry::Cry::Cry:
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  too much of everything is harmful!
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  nyie si ndio mnapenda hiyo midude! Ndio maana wanashinda kwenye vioo.
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kweli swetie pie mie situmii kabisa :smile-big:
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Natural is always good....

  Kuhusu issue ya mkorogo ngoja nikupe beti la the late Tupac Shakur......
  "The Blacker the Berry The Sweeter the Juice, The Darker the Flesh the Deeper the Roots"

  Lets love our ancestry.
   
 20. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180

  big up!!
   
Loading...