Mwanamke unayajua haya

uzi wa ukweli sana.
hongera sana mtoa uzi.
mwanmke akizingatia haya lazima aolewe au atapata mahusiano yenye manufaa kwake.
ila haya yanayohangaika kuolewa .
mengi ni yana roho mbaya,
na yanatafta wanaume wakuwatumikisha tu.
bahati nzur na sisi hatutaki ujinga.
lipo limoja tulijibizana matusi siku 2 ,badae kumbe lina mimba yangu bila kujua.
sasa hivi linasoma namba peke yake na mtt.
kiukweli nna shida ya mtt.
lkn kila nikikumbuka.
nakosa hamu ya mtt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuondoka ni rahisi hivyo??? Ume invest time na pengine mna familia tayari.. watoto?? Wanawake ni wavimilivu sababu wanazaa kwa uchungu,wanatake full responsibilities of offsprings... huwaga najiuliza km wanaume ndio wanazaa .. ndoa zingedumu?????
Usituchukulie poa, wanaume walio wengi tuna upendo wa dhati kwa watoto kuliko hata ninyi wanawake mnaozaa kwa uchungu. Ukiona mwanaume hapendi watoto ujue kuna kitu nyuma ya pazia. Japo sikatai kuna baadhi ya wanaume hawajali sana watoto wao lakini hii ipo pia kwa upande wa wanawake, wapo wanaochukia watoto wao waliowazaa hadi kuwatupa vyooni, imagine! Hakuna mwanamme anaweza kumtupa mototo wake chooni believe me.
 
😂😂😂😂😂mkuu ani hawa viumbe bwana
 
Mwanaume anahitaji constantly access to papuchi,nothing else lol
Hapo ndipo mnakosea wanawake kwa kudhani we only need papuchi, sisi wanaume we also deserve little things such as caring, being bought gifts etc, tunapogundua mwanamke hakuna atoacho zaidi ya papuchi automatically she turns into a *** buddy na hapo ndipo utasikia wanawake wengi wanalalama bila kujua wao wameanguka sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kwanza ninakubaliana nawewe

Mwogope sana Mtu hasa mwanamke unayemkosea kisha anakaa kimya, wale wa kupayuka hawasumbui kichwa kwasababu ni moto wa makaratasi unawaka paap kisha unazima.

Zingine sijasoma na sisomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Very few men are like you, toa sex in the equation then unapata mchepuko! It is common for men to think about sex all the time..I think I hv seen somewhere is due to sex hormone called testosterone..which is higher in men
 
Akikumwagia shahawa ukeni mwambie asante kwa kunitia hii ndo kali eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…