Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,336 Reaction score 127,017 Jul 19, 2018 #181 Dam55 said: Tunawaelewa sana, kilichobaki tunawaangalia tu mnavyohangaika na kujibalaguza bila malengo. Mbadilike tu rafiki!!. Click to expand... Hahahaaaa. Lol. Mie siko katika hilo kundi banaaa. [emoji12]
Dam55 said: Tunawaelewa sana, kilichobaki tunawaangalia tu mnavyohangaika na kujibalaguza bila malengo. Mbadilike tu rafiki!!. Click to expand... Hahahaaaa. Lol. Mie siko katika hilo kundi banaaa. [emoji12]
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,401 Reaction score 31,659 Jul 20, 2018 #182 RRONDO said: Nina Tecno vipi utanidondokea? Click to expand... Nikudondokee mara ngapi?[emoji6]
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,981 Reaction score 30,858 Jul 21, 2018 #183 nashangaa sanaaa yaani jamii imekubali tu kuwa kupokea ujinga wowote kutoka kwa mabint kama kritika, yaani hata kwa ujinga wao wanawake huwa analaumiwa mwanaume tu!! Jamii inawalemaza sana wanawake
nashangaa sanaaa yaani jamii imekubali tu kuwa kupokea ujinga wowote kutoka kwa mabint kama kritika, yaani hata kwa ujinga wao wanawake huwa analaumiwa mwanaume tu!! Jamii inawalemaza sana wanawake