Mwanamke unaweza kudate na mwanaume ambaye hana kazi?

Tukirudi kwenye mahitaji ya msingi ya mwanamke kutoka kwa mwanaume ni:-
1. Security
2. Kupendwa
3. Kusikilizwa
4. Kupetipetiwa (kumrairai)

Na jambo la ajabu ambalo halipo kwenye mahitaji ya msingi la mwanamke ni kazi/kipato/pesa
kazi/kipato /pesa = security
 
Back
Top Bottom