Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,689
- 176,266
Hayo masimango ndio yata mark the end of our relationship!Kimaandishi inawezekana ila kiukweli ukweli huyo mwanaume akipendwa ajiandae kisaikolojia maana sie jama sie wanawake midomo yetu tunaijua wenyewe hasa pale kama hivyo Me hana kazi tena ukiangalia kila jambo tunajigharamia.
Hata awe hodari kwenye kila kitu, atapendwa sawa ila asije siku kutibua lazima masimango ayapate na ile michambo yake itafanya atafute kazi afanye hata kama ya kubeba zege.
La sivyo awe ka boya.