Mwanamke; Unapenda mwanaume mwenye sifa gani?

Kuna wanawake wanaodai mwanaume akiwa sopsop saaaaaaaaaaaaana huwa hawezi kuishi vizuri na madada. Kwa nini..? Sijui..... Mwingine alisema hata wajibu wao wa faraghani hushindwa kutimiza pale wanapokosa mavazi yao mwilini!

Anijali, anipende, anitunze, aniridhishe, ajue majukumu yake kwa family.... ziada yake awe mweusi mrefu kiasi, mwembamba mnene(katikati hapo) asiwe handsome, anaetabasam mara kwa mara, anaenukia perfumes za ukweli(hii huni turn on sana), msafi
 
Wanawake walio wengi wanapenda mwanaume anayejipenda,mwenyejili yeye na familia yake kwa ujumla na mwenye mtazamo wa badae(future).
 
Napenda anayeniheshimu hata kama nje anafanya mambo mengine.
Anayenishirikisha mambo yake yote ya muhimu ninayostahili kuyafahamu.
Anayenipa nafasi ya kumshauri hata kama hakubaliani na ushauri wangu moja kwa moja.
Anayenisikiliza hata kama mara zote naongea pumba.
Napenda anayewapenda watu wangu ninaowapenda.
Anayeonesha kujali hasa kipindi cha matatizo.
Aliye huru kuwa na mimi muda wowote na mahali popote.
Anayejipenda mwenyewe na anaewapenda watu wake wa karibu....
Hayo ndio ya msingi ninayoyapenda kwa mwanaume.
 
Nimeipenda hii,karibu kwangu.
 
Anijali, anipende, anitunze, aniridhishe, ajue majukumu yake kwa family.... ziada yake awe mweusi mrefu kiasi, mwembamba mnene(katikati hapo) asiwe handsome, anaetabasam mara kwa mara, anaenukia perfumes za ukweli(hii huni turn on sana), msafi[/QUOTE]

Hapo kwenye RED kama bado hujampata mwenye vigenzo hivyo basi usihangaike shida imekwisha, pendelea kufanya matembezi maeneo ya kinondoni pale kuna wacongoman wa kumwaga kwahiyio chaguo ni lako. ila usitegemee kwenda kuishi kwake huwa hawana vyumba wao huwa wanakaa kwa wanawake (marioo ) ni vizuri ukijiandaa kwa hilo.
 
Napenda mwanaume aliyekwisha wai kuachika so anajua inavyouma

Hafai, mshipa wa mapenzi unakuwa umeshakufa, huwa anakuwa na mwanamke kama kutimiza wajibu wa kibinadamu tu, mwanaume kama alimpenda kweli mwanamke na akaja kumzinguwa na kutoswa, huwa inachukuwa muda kuja kumuamini mwanamke mwingine, sana sana kifuatacho ni hit & run.
 
LOVE IS NOT ENOUGH NA IN LOVE WOMEN DONT MAKE SENSE usjitaabishe kujua mwanamke anapenda nn WW JIPENDE KWANZA utaona wanavyonasa atajua kuwa the way u love urself hata yeye atakuwa na mapenzi salama!
 
kwa kweli huyo mwanamke alichokifanya sio kabisa labda anataka mwanaume ambaye ni cha pombe kwani kwa hali ya kawaida ukipata mwanaume kama huyo inabidi uwe na heshima, busara, ukarimu na upendo pia. kwa upande wangu napenda mwanaume ambaye anajiheshimu anaheshimu watu wengine na pia ajue majukumu yake katika familia
 
sifa ya kwanza:
akubali kumpokea na kumuabudu Yesu ktk roho na kweli.
2:anipende
3.nimpende
4:
5:
naenda bible study nikirudi ntaorodhesha hizo sifa nyengine ila nadhan 'awe na ajira' itakua ni moja ya sifa nitakazohitaji mpenzi awe nazo:mimba::tonguez:
 
1.awe na muda wa kutosha wa kufurahi na mimi sio muda wote anatafuta pesa.
2.anayejiamini sana
3.mwenye mapenzi kwa watoto tutakaokuwanao
4.mwelewa
5.awe na moyo wa kutoa/kusaidia wenye shida
6.hatadhubutu kuniacha hd kifo
7.awe pamoja nami ktk magumu nitakayokutana nayo mbeleni
8.ajue kunisikiliza ht kama anaona naongea pumba
9.asiwe mbahili na pesa zake
10.asiwe mfujaji wa pesa hovyo
11.atakayeniheshimu,nijali,nipende siku zote za maisha yangu
12.asiwe mnyanyasaji
13.awe mwaminifu sana kwenye masuala ya unyumba,ZAIDI YA YOTE HAYO AWE NA HOFU YA MUNGU
 
Anijali, anipende, anitunze, aniridhishe, ajue majukumu yake kwa family.... ziada yake awe mweusi mrefu kiasi, mwembamba mnene(katikati hapo) asiwe handsome, anaetabasam mara kwa mara, anaenukia perfumes za ukweli(hii huni turn on sana), msafi[/QUOTE]

Hapo kwenye RED kama bado hujampata mwenye vigenzo hivyo basi usihangaike shida imekwisha, pendelea kufanya matembezi maeneo ya kinondoni pale kuna wacongoman wa kumwaga kwahiyio chaguo ni lako. ila usitegemee kwenda kuishi kwake huwa hawana vyumba wao huwa wanakaa kwa wanawake (marioo ) ni vizuri ukijiandaa kwa hilo.

asante mkuu. this is hillarious!
 
Ungeongezea anayependa sana majamboz tu, ungekuwa umekamilisha sifa muhimu nilizonazo. Ungenifaa sana as a wife. Nina hakika nisingekuolea mke mwenza hadi naenda kaburini. Ningesikiliza si pumba tu bali ndoto, mawazo na kila ulichonacho pasipo kujali kinasika au la. Baby, kwa uliyoyataja hapo kama na wewe ungeweza kuyaoffer upande wa pili ningekupenda kuliko kichanga kinavyopenda nyonyo na kuililia kila kinapofeel like getting it. I'm sure mawazo yako kama ndiyo principles zako utapendwa na mumeo kuliko alivyowahi kupendwa mwanamke yeyote duniani.

Napenda anayeniheshimu hata kama nje anafanya mambo mengine.
Anayenishirikisha mambo yake yote ya muhimu ninayostahili kuyafahamu.
Anayenipa nafasi ya kumshauri hata kama hakubaliani na ushauri wangu moja kwa moja.
Anayenisikiliza hata kama mara zote naongea pumba.
Napenda anayewapenda watu wangu ninaowapenda.
Anayeonesha kujali hasa kipindi cha matatizo.
Aliye huru kuwa na mimi muda wowote na mahali popote.
Anayejipenda mwenyewe na anaewapenda watu wake wa karibu....
Hayo ndio ya msingi ninayoyapenda kwa mwanaume.
 
I'm worried! you are too philosophical lakini, nashukuru umenipa angle nzuri sana ya kuanzia tafakari pana na deep. Thanks "Safety Last".

LOVE IS NOT ENOUGH NA IN LOVE WOMEN DONT MAKE SENSE usjitaabishe kujua mwanamke anapenda nn WW JIPENDE KWANZA utaona wanavyonasa atajua kuwa the way u love urself hata yeye atakuwa na mapenzi salama!
 
Ningeweza kukufaa sana kama ingetokea tukafahamiana kabla ya mjadala huu. Amri yako ya sita ingeweza kunishinda kwa kuwa kuna mambo ikitokea nikafanyiwa ni lazima nikuteme hata kama ndoa ilifungashwa na Mtume Paulo mwenyewe. Upo hapo! Thanks for your good contribution.

Back
Top Bottom