Mwanamke; Unapenda mwanaume mwenye sifa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke; Unapenda mwanaume mwenye sifa gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Analyst, Jun 1, 2011.

 1. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Najua na kuamini kwamba binadamu tumetofautiana kwa kiwango kikubwa lakini sijui hasa wanawake wengi wanapenda sifa zipi awe nazo mume ili waweze kuridhika na pengine kuishi kwa furaha. Najiuliza sana swali hili, pengine dada zangu jamvini mtanisaidia zaidi "from the original..."

  Nimewahi kushuhudia dada mmoja, mke wa mtu anakuwa na boyfriend kwa muda mrefu kweli nje ya ndoa yake na inadaiwa kazaa naye ama mtoto au watoto wawili akiwa ndani katika ndoa na mume mpole, very caring (katika mazingira ya kawaida - chumbani sijui..), good provider na ustaarabu mwingi kwa ujumla. Angekuwa na fedha nyingi zaidi nisingeshangaa kumkuta huyu dada anamiliki Gulf Stream.

  Tatizo na kinachoshangaza zaidi dada huyo kaachana na huyo boyfriend aliyemzalia mtoto na badala ya kutulia ndani ya ndoa yake sasa anaruka na bwana mwingine tena mume wa shoga yake. Wamejiacha kama hawana ndoa zao vile, mpaka huyo mke wa huyu bwana analalamika hovyo na kuishia kudundwa na mumewe (sijashuhudia hili). Kwa ustaarabu wa yule bwana (Mume Mwema) nilitarajia awe bwana wa mwisho kabisa kutendewa uasi huo na mkewe kwa kuwa anamfaa sana. Cha ajabu anatendewa ndivyo sivyo kuliko mabwana wengine ambao ni "vya-pombe" na sketi - mtu huko katika mabaa na viwanja vingine. Kwa jamaa yangu huyu mambo yanafanywa waziwazi mno!
  Kwa mfano wa dada huyu mume angekuwa vipi ndiyo angetulia na kupunguza kujidhalilisha kiasi hicho machoni pa watu?
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Kila mmoja ana mambo yake,myself napenda mwanamke anaejitambua kuwa yeye ni mwanamke!
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Kila mmoja ana mambo yake,myself napenda mwanamke anaejitambua kuwa yeye ni mwanamke!
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  wanawake ndo walivyo, ukimheshimu anaona hufai...dawa yao ni kuwapeleka kimbuzi mbuzi tu.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wasiojua nini wanataka....na kuna watu wanajua wanachotaka hata kama wewe hukioni.Hao unaowaita chapombe labda ndo anaowapenda yeye...labda kuna vitu ambavyo wanavyo mumewe hana...mtu kua mpole na kuonyesha kujali haitoshi lwa kila mtu!!
   
 6. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa upande wangu, kuhusu stori ya uyo dada huwezi jua inawezekana kuwa kunakitu hanakikosa kutoka kwa uyo mumewe. mi napenda mwanaume anayejieshimu na mwenye kujua majukumu ya familia.
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Thats true baby!
   
 8. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Da' Lizzy, Nisaidie kujua, katika mazingira kama ya wazinzi-walevi anachokipenda kitakuwa nini? Unajua kuna wanawake kibao wanawalalamikia jamaa zao kwa kushindwa kujipanga kiuchumi tena kwa kuwaambia kabisa "unadhani maisha ni sex tu.... jitahidi kutafuta...." Kwa kauli kama hii napata picha kwamba si sex tu watu wanahitaji katika ndoa. Sivyo? Then why should guys like that man be so humiliated wakati anajitahidi kwa mengi. Inawezekana kweli sex ikawa hovyo unajua tena watu wakikaa muda mrefu na mke akawa hatulii.

   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  i am Senior Bachelor and happy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Puhleeeeez....
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Labda ndo starehe yake!
  Sio kila mtu anaridhika na “a good guy“...some people are used to being treated like Ish kwahiyo ukiwa mzuri kwake anakuona huna lolote!Wenyewe watakuambia ‘ukoLAME so cha muhimu ni kuchunguza mtu anapenda watu wa aina gani!
   
 12. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye red huoni kama unajichanganya? Ya chumbani huyajui, halafu hapo hapo unasema anamfaa. Kivipi? Don't judge a book by its cover.
   
 13. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nadhani ni ngumu mtu kuchange tabia kubwa kama ustaarabu kuwa rough. Mshikaji mmoja aliwahi kupelekwa ila akafumanie. Aliyoyaona akitendewa wife wake (tena akifurahia) yalimfanya atapike hapo hapo fumanizini. Akisimulia mkasa jamaa alidai tangu wakiwa marafiki na baadaye wachumba mkewe alikuwa akiponda sana vitu kama sex na style ambazo ni commercial kama anal, hard core, threesome nk kama zinavyosifiwa na waigizaji wa filamu za bluu. Kwa maana nyingine aliamini mke hawezi kupenda vitu hivyo lakini cha ajabu akashuhudia kijana wa kimanga tena mdogo kwa umri akimchafua mkewe kama wanarekodi movie vile. Hakutaka kuonana naye tena.

   
 14. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mkuu unajua tena lugha zetu hizi. Utaniwia radhi. Nimesema anamfaa nikimaanisha anahifadhiwa katika nyumba ambayo jamaa kagharimia, anamlisha na kumvisha nk. Tena mengine sikusema jamaa alimuasili hadi mtoto ambaye mdada kamzaa kabla hawajakutana. Si kumfaa kwa mambo ya kikubwa! Hayo sijui.

   
 15. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani lazima muoe vijana??Matatizo mengine mnajitafutia wenyewe!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yote hayo hayatoshi kumfanya mtu akupende na kutulia...unless tunaongelea mapenzi ya fadhila hapa.Mapenzi yalitakiwa yawepo kabla hajafaidi kuishi kwa mshkaji...kula vijisenti vyake na kuasiliwa mtoto.

  Kwa maelezo yako ya hapo juu inawezeka mshkaji ni “mlokole“ sana kwenye mambo ya mapenzi kwahiyo dada nae alijifanya ndo walewale apate ndoa.Sasa ana ndoa na raha yake anapata nje..Hakuolewa kwa mapenzi bali alikubali ili apate kula na kulala rentfree!
   
 17. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Ungekuwa dume ningedhani Shekhe Yahaya karudi ulingoni. Jamaa si mlokole wa huko ndani tu, maana sijui yaliyomo kati ya kuta 4, lakini ni mlokole ki-imani pia kwa maana ya kulia na kunena kwa lugha isiyotafsirika hapa duniani. Do you know them? May be anapenda missionary style. Nimewahi kusikia wanawake wangi wanakuwa bored na mitindo ya kujirudia. Naanza kuhisi nilichukua uamuzi sahihi kutooa japokuwa natamani sana kuitwa baba. Napata woga kuitwa mume wa mtu.

  Sipati picha; kufanya mapenzi ki-mishionari kwa miaka 20 halafu ghafla nakuwa hard core kuogopa kunyanganywa na ma'chizi. Unajua ni rahisi sana kumfanya utakavyo mke wa mwenzio lakini ukashindwa wako. Imagine mke kutoka ndani bara huko ghafla tu umtumikishe michezo yote ya pwani! Unaanzaje kwanza? Blue wengine kutazama ni dhambi na kuiga yaliyomo ni tiketi 1st class ya motoni.

   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe pia ni mlokole?
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahha...ndo hivyo sasa.Dada nae aliokoka kwa muda.

  Kuhusu uoga wako wala usiuendekeze..cha muhimu ni umpate yule unayefanana nae kweli.Na ili kufanikisha hili achana na kujitambulisha siku ya kwanza na kuongelea ndoa maana ukikutana na dada mwenye uchu wa ndoa hata ukimwambia unapenda sana konokono na yeye hajawahi kula atakwambia na yeye pia.Wapo wanawake wa kila aina out there....we mtafute tu yule anaeelekea kua kama wewe.
   
 20. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  nipo jukwaa la siasa au nimekosea mlango?
   
Loading...