Mwanamke: Umemuandalia nini mumeo/familia yako sikukuu hii ya Eid?

jamanimiye nimendaa pilau nyama ng'ombe, kabichi, vikuku kidogo juice pamoja na madafu. jion kuna berbecue ya kufa mtu k wale walio alikwa. nichukue nafasi hii kukuualika wewe Mtambuzi, Asprin princess enny Kongosho na wengine ila kwa wale wanaume wa kichaga chonde nyama ni stiki moja moja tu so ule kitaa kwanza kabla ya kufika hapa. umeskia wewe Asprin Kaizer na Mr Rocky?

shostito wangu cacico ndo mchomaji wetu wa leo, naona yuko bize na meat grill tusubiri tuone.
 
Last edited by a moderator:

Ndo umeamua kunichinjia baharini..
Haya dadaangu Eid njema!!!
 
Mpenz tena? mtoto wa pwani miye uchoyo sijafundishwa, kwangu utapata kile unachotaka full bufee ukishapakua wewe subiri kulishwa tu ikiwezekana ntakutafunie wewe ni kumeza tu kama kinda la ndege....... welcome my dearest

Aisee niko njiani bana..acha geti wazi kabisa ili nikifika niingie bila kuchelewa!
 
The best sex ever i will suck his balls and eat him all over QUOTE=Mtambuzi;4457903]
072512_arctic_1521319c.jpg

Hebu fungukeni maana nataka kulinganisha kama sijapunjwa na mama Ngina..........................LOL[/QUOTE]
 
bahati nzuri au mbaya jana nilikuwa na ugeni siku nzima, na hubby alikuwa na kazi proposal fulani anamalizia, sikuandaa chochote cha ajabu zaidi ya matunda, mboga, na wali(ambao mume wangu aliupika) then nienda kupokea wageni na kuwasambaza kunakohusika, yaani jana ilikuwa siku ya kawaida kabisa, leo ndo nipo busy kuanda mapochopocho....
 
BADILI TABIA sasa vipi bibie, leo nijimuvuzishe na familia yangu huko kwako............. Nimefulia mwenzio..................LOL
 
Last edited by a moderator:
Karibuni sana, nitawaandalia mtori wa samaki aina ya pweza............................LOL

mmh! hapo labda kwa huyu kichanga ila hawa wakubwa wao wanataka ile makitu waone likuku la kuoka hapo kwa meza ndoo aah...........mambo safi uwaekee na tuviazi twa mbeya kama wamalila huku mjini wanaita chips aaah..............hapo mjomba utapendwa wewe maanake watataka kila siku kuja kukuona.
 
bahati nzuri au mbaya jana nilikuwa na ugeni siku nzima, na hubby alikuwa na kazi proposal fulani anamalizia, sikuandaa chochote cha ajabu zaidi ya matunda, mboga, na wali(ambao mume wangu aliupika) then nienda kupokea wageni na kuwasambaza kunakohusika, yaani jana ilikuwa siku ya kawaida kabisa, leo ndo nipo busy kuanda mapochopocho....
aisee bestito tukaribishane basi lol! si wajua msosi wa kupika mama unavyonoga?
 
Back
Top Bottom