Mwanamke Uliebadili Mtizamo Wangu!

Mwanamke Uliebadili Mtizamo Wangu!

mkuu unamwambia lakini haya maneno au unayasemea tu kwenye keyboard.? maneno mubashara kabisa haya..hebu muambie basi na yeye ajue anavyopendwa jamani
 
Ningesema Amen ila kwa wale uliowaumiza ulivyokuwa playboy....sijui unawasaidiajee
 
Oa sasa Mkuu acha longo longo. Hongera Mkuu.

Baada ya kumpenda yule dada alieniacha baada kwenda kusoma mwanza Hakika niliteseka sana,Jinamizi la huyu mwanadada lilinitesa saana kiasi kwamba nikitizama nje darasani kipindi hiko nilikuwa kama namuona!

Ubaya zaidi ni kwamba ukiwa katika mapenzi mazito na mtu hata kama hakupendi huezi amini kama hakupendi kweli!

kweli mwanadada uliniacha katika kipindi kigumu katika maisha yangu...ukanifanya Nisipende tena wala kumuamini Mwanamke....Nikaangua katika Janga la UplayBoy!

Nilikuwa na imani ipo siku nitampata ambaye tutapendana...ikachuku muda sikupenda mwanamke ata we mzuri kiasi gani...nikabakia kuplay tu!

Lakini Mungu si Athumani...Amenipatia mwanadada! Mzuri ambaye automaticaly tumeendana ghafla japo mwanzoni nilimtongoza kimasihara tu...Ghafla siku Nenda rudi nikaangukia katika wimbi la Mahaba na huyu Mwnadada..! Hakika sikuamini!

Imefikia mtoto wa kikee ananiletea msosi Gheto...ananipikiaa mimi..Hajisikii na title ya kwao kwamba ni mtoto wa Kishuaa!, tukiwa kitandani hanibanii..ananipa ninavyotakaa!

Nakushukuru sana Mwenyezi Mungu pamoja na wewe Mwanadada, Hakika kwa Mapenzi yako umeniaminisha na Kubadili Mtizamo wangu kuhusu wanawake!...umeniaminisha kwamba Good women still exists...umeniamisha kwamba wanawake wenye mapenzi ya dhati bado wapo saana....labda huenda wanaume hatuwaoni!

Najua Hauwezi ona nachokiandika hapa ila mimi nimekupa moyo wangu na sio unafiki! Mwishowe Mwenyezi Mungu akipenda utakuwa Mama wa Watoto wangu!...Mapenzi yake Mwenyezi Mungu Yatimizwe!
 
mkuu unamwambia lakini haya maneno au unayasemea tu kwenye keyboard.? maneno mubashara kabisa haya..hebu muambie basi na yeye ajue anavyopendwa jamani
namwambia ila sio sana asije kuvimba kichwa!
 
Mkuu Kwa ushauri tu

Usiingie mazima

love without limits
Asante sana dadaa najua la kutokea litatokea but kweli amejitahidi kuridhisha moyo wangu kwa sasa na hata akiniacha sitaeza kumchukiaa!
 
Ningesema Amen ila kwa wale uliowaumiza ulivyokuwa playboy....sijui unawasaidiajee
i think nao walikuwa ma playgirls maana hata hawana maumivu yoyote juu yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom