BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,104
- 14,029
- Thread starter
- #81
Ulipaniki.kipindi nipo tabora nikakutana na dem kavaa kama 15 eh nikashangaa nikamuuliza nini hiyo akanijibu "kwani hujui" ehe nikaona leo nimepatikana nikaogopa nikajua uyu mwanga nilikula kiwoga ila ndo tuliachana mazima
Hadi leo nikiona hayo madude na hiyo papuch nahairisha wiki ndo nifikirie tena
