Bado mkuu ila nitamfuata lazma mkuuBado hujamfuata tu
Nimekuwa na ndiyo maana nakupa huo wosia.
nimekumbuka mbali sana, kuna shoga angu ana vaa hizo vitu, huwa namuuliza ukivaa hizo vitu mpenzi wako anakuchukuliaje? Akanijibu wanaume wanapenda balaa! Weee mvalie xxxxx wako uone! nikamwambia vua moja unipe akanipa,
nami nikamvalia xxxxx weeee ile kuiona umeaza lini mambo hayo nani kakwambia itaongeza upendo doooh! Akaivuta akaikata huko, mie doooooh umeikata shaga ya xxxxx.






Nikionaga mwanamke amevaa shanga huwa namuona mtaalamu na mtamu sana chumbani.
Na anajua kukata mauno na yupo romantiki sana. Nikiona shanga hata mnara unasoma.
Utamu wa pipi ni mate yako mkuu.
Si kweli, ondoa huu upuuzi kichwani mwako. Si kila mtu anapenda kula pipi.
Uje badae kuleee..nkuelezee matumizi mengineMpenzi mtarajiwa..hivi shanga zaidi ya urembo zina matumizi mengine wakati wa kwichikwichi..Nisije nikakutana nazo siku nikaonekana lofa..
Mzushi ww..Kila siku nakuja sikuoniUje badae kuleee..nkuelezee matumizi mengine
still picha na mnatoHabari bila picha hainogi.View attachment 1105306View attachment 1105307
Sasa mbona huniiti ukifika?Mzushi ww..Kila siku nakuja sikuoni
Ntakuita basi..Sasa mbona huniiti ukifika?
Hahahahaaaa yalimtokea sister yangu kwa husband yakenimekumbuka mbali sana, kuna shoga angu ana vaa hizo vitu, huwa namuuliza ukivaa hizo vitu mpenzi wako anakuchukuliaje? Akanijibu wanaume wanapenda balaa! Weee mvalie xxxxx wako uone! nikamwambia vua moja unipe akanipa,
nami nikamvalia xxxxx weeee ile kuiona umeaza lini mambo hayo nani kakwambia itaongeza upendo doooh! Akaivuta akaikata huko, mie doooooh umeikata shaga ya xxxxx.
Mweeeee wanaume aiseee sio watuu wakawaida ndio maana wengine wamegoma kuolewa sisi wengine tunaroho ganii, nawaza tuuShangaa zinatia nyege vibaya mno na hili nilikuwa sijalijua maana mimi mwnyewe mwanaume wa mkoani huko; siku moja nipo zangu beach naogelea mara mwanamke kaja anatka nimwogeleshe acha nikute anashanga kiunoni nimezichezea vibaya mno maana yeye mwenyewe aliniambia usiwe na wasiwasi nimekuja huku kuenjoy tu na kaupweke; tokea siku hiyo nilipata waza la kumnunulia mpenzi wangu shanga maana msimsimko wake sio wa nchi hii

kipindi nipo tabora nikakutana na dem kavaa kama 15 eh nikashangaa nikamuuliza nini hiyo akanijibu "kwani hujui" ehe nikaona leo nimepatikana nikaogopa nikajua uyu mwanga nilikula kiwoga ila ndo tuliachana mazima