Mwanamke ukibakwa,wahi polisi na hospitali haraka: media saga.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,907
2,092
Salam!

Moja kwa moja kwenye mada.

Ubakaji (kutoka mzizi wa Kiarabu) ni tendo la kumlazimisha mtu afanyiwe asichokubali.

Juzi juzi hapa,media zimelalamika kufanyiwa vitu wasivyovikubali,aka ukabaji wa media,kitu ambacho ni kosa la jinai.

Ikiwa madai yao ni sahihi,je kwa nini hawajapeleka malalamiko yao polisi au mahakamani?

Hawajapeleka malalamiko mahakamani/polisi kwa manufaa ya nani (kisiasa au Mfanya uhalifu)

Maoni na wito.

Kitendo kinachodaiwa kufanywa kwenye media na RC ni kitendo kkisicho kubalika wala kuvumilika katika hali ya kawaida, kutopeleka taarifa polisi/mahakamani ni sawa na kubariki kitendo kile kilicho fanyika kwa manufaa ya watu fulani ambao media inawajua.

Mwanamke akibakwa na asipokwenda kushitaki polisi/mahakamani basi ujue alitengeneza mazingira yeye mwenyewe ili akabwe na alifurahia kitendo hicho,kwa hiyo anangoja aje akabwe tena aendelee kuenjoy bata.
 
Mkuu DZUDZUKU, kwanza ni kweli kilichofanywa Clouds Media ni ubakaji, ila kutokwenda kushitaki polisi sio kuwa alijenga mazingira ya kubakwa na alifurahia kitendo kile bali mbakwaji aliamua watauamaliza wenyewe kwa kuombana msamaha kwa ubakaji ule.

Hili ni jambo la kawaida sana hata katika ubakaji unaotokea kwenye real life scenarios, mara kibao wake hubakwa kwenye ndoa zao na hawasemi wala hawashitaki. Mara kibao baba mwenye nyumba ambaye ndie bread winner hubaka na família ikayamaliza kifamilia bila kushitaki popote.

Wanawake kibao wanabakwa, ila kufuatia cumbersome procedures za kuripoti ubakaji zinapelekea wabakwaji wengi kutoripoti kutokana na kuona aibu na kujidhalilisha hivyo bora ibaki kuwa siri.

Kisheria kubakwa bila kushitaki kubachukuliwa ni kuridhia na ndio maana katika matukio haya kulifanyika ubakaji na hakuna aliyeshitaki hivyo kunahesabika ni kuridhia.

Baada ya ubakaji ule wa Clouds, uongozi ulijitokeza ukasema umesamehe ila mbakaji aombe msamaha yaishe. That is a good move kwasababu mbakaji huyo ni rafiki yao.

Kwenye ule ubakaji wa demokrasia Zanzibar nililizungumzia sana hili...
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote

Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!.

Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar ni Huru na Haki! Tuyasubiri Matokeo, Tuyakubali!

CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima! Vinginevyo, huo ndio mwisho wake

Paskali.
 
Anayeamua nani ashtakiwe na nani asishtakiewe bado ni aliye vamia kituo cha TV pole sana.
 
Kwa hiyo hapa wewe kufananisha na ubakaji umeona ni vizuri na umefurahia!? Je unafikiri wanawake waliotendwa hayo watafurahia kusoma uliyoandika? Hukuweza kutumia mfano mwingine?

Kiongozi jembe naona bado ananyima watu usingizi.

Makonda oyeeeee
 
Mleta mada unatetea hoja gani hapa ?!, ikiwa mbakwaji amepiga kelele na zilipofanyika juhudi ya kumpeleleza na kumwajibisha mbakaji, Baba Mzazi wa bakaji ambaye pia anayesimamia sheria akafyumu na kuwaangushia wapelelezi wa jambo hili mzigo mbovu !!!

Ukitoka family zetu hizi ndogo ndogo utanyimwa hata hiyo PF 3 ya kumperekea Dr na hutakuwa na wa kuapeal kukutetea na dhama ya ubakwaji. Ukitaka kujua nguvu ya Mzazi wa bakaji angalia swala la Ney wa Mitego lakini hii mpaka apende na uwe na popularity kwake au kwa mwanaye.
 
Anayeamua nani ashtakiwe na nani asishtakiewe bado ni aliye vamia kituo cha TV pole sana.
Executive and judicial system are different system.

Yaani mtu akufanyie kosa la jinai uamue kuuchuna?
 
Mleta mada unatetea hoja gani hapa ?!, ikiwa mbakwaji amepiga kelele na zilipofanyika juhudi ya kumpeleleza na kumwajibisha mbakaji, Baba Mzazi wa bakaji ambaye pia anayesimamia sheria akafyumu na kuwaangushia wapelelezi wa jambo hili mzigo mbovu !!!

Ukitoka family zetu hizi ndogo ndogo utanyimwa hata hiyo PF 3 ya kumperekea Dr na hutakuwa na wa kuapeal kukutetea na dhama ya ubakwaji. Ukitaka kujua nguvu ya Mzazi wa bakaji angalia swala la Ney wa Mitego lakini hii mpaka apende na uwe na popularity kwake au kwa mwanaye.
Giving a try is not the same as not doing it.

Wangeenda kushitaki ingeleta maana zaidi kuliko kuamua kukaa kimya.
 
Executive and judicial system are different system.

Yaani mtu akufanyie kosa la jinai uamue kuuchuna?

Kosa la JINAI alichofanya RUGE wa Clouds Media ni kutoa report ya uvamizi,mtengeneza mashtaka na mkamataji ndiye aliyevamia kituo,unategemea nani amfunge kengele PAKA?Paka mwenyewe amegeuka kuwa PAKA shume na si PAKA wa nyumbani??
 
Aipeleka wapi hiyo ripoti kama sio kukaa nayo kimya?

Kitu chenye ushahidi kwa nini usishitaki? Pia mawakili kibao wapo especialy mawakili wanaopenda publicity wapo kibao. Ni afadhali kushitaki halafu shitaka likatupiliwa mbali italeta maana kwamba mmechukizwa na kitendo,kukaa kimya kuna leta mashaka,labda mawingu pamoja na RC walipanga ile muvi itokee ili kukata maongezi yanayomuhusu RC.
 
Mkuu DZUDZUKU, kwanza ni kweli kilichofanywa Clouds Media ni ubakaji, ila kutokwenda kushitaki polisi sio kuwa alijenga mazingira ya kubakwa na alifurahia kitendo kile bali mbakwaji aliamua watauamaliza wenyewe kwa kuombana msamaha kwa ubakaji ule.

Hili ni jambo la kawaida sana hata katika ubakaji unaotokea kwenye real life scenarios, mara kibao wake hubakwa kwenye ndoa zao na hawasemi wala hawashitaki. Mara kibao baba mwenye nyumba ambaye ndie bread winner hubaka na família ikayamaliza kifamilia bila kushitaki popote.

Wanawake kibao wanabakwa, ila kufuatia cumbersome procedures za kuripoti ubakaji zinapelekea wabakwaji wengi kutoripoti kutokana na kuona aibu na kujidhalilisha hivyo bora ibaki kuwa siri.

Kisheria kubakwa bila kushitaki kubachukuliwa ni kuridhia na ndio maana katika matukio haya kulifanyika ubakaji na hakuna aliyeshitaki hivyo kunahesabika ni kuridhia.

Baada ya ubakaji ule wa Clouds, uongozi ulijitokeza ukasema umesamehe ila mbakaji aombe msamaha yaishe. That is a good move kwasababu mbakaji huyo ni rafiki yao.

Kwenye ule ubakaji wa demokrasia Zanzibar nililizungumzia sana hili...
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote

Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!.

Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar ni Huru na Haki! Tuyasubiri Matokeo, Tuyakubali!

CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima! Vinginevyo, huo ndio mwisho wake

Paskali.
Nashukuru kaka Pascal M. kwa kuchangia hii mana,nashukuru kwa heshima yako hii.

Nirudi kwenye mada!

Mtuhumiwa hajaomba msamaha,it means alifanya akiwa na akili timamu na hajutii kosa wala haoni kama amekosea.

Pia,media zimepiga ban taarifa za RC,swali nani anafaidika na ban hii? Nani anafaidika na kutopelekwa kwa mashitaka sehemu husika?

Ishu ya Zenji,mambo mengi yameongelewa plus katiba tuliyonayo hairuhusu uraisi kupingwa mahakamani nk.
 
Aipeleka wapi hiyo ripoti kama sio kukaa nayo kimya?

Kitu chenye ushahidi kwa nini usishitaki? Pia mawakili kibao wapo especialy mawakili wanaopenda publicity wapo kibao. Ni afadhali kushitaki halafu shitaka likatupiliwa mbali italeta maana kwamba mmechukizwa na kitendo,kukaa kimya kuna leta mashaka,labda mawingu pamoja na RC walipanga ile muvi itokee ili kukata maongezi yanayomuhusu RC.

Hebu nisome vizuri kaka Ruge amepeleka malalamiko yake polisi,hivyo amesharipoti polisi.Ni kazi ya Polisi kumkamata mtuhumiwa na siyo mlalamikaji kumkamata mshtakiwa.

Ni kazi ya Polisi kufanya upelelezi si kazi ya Mshtaki kufanya upelelezi.Sasa anayekama na kufanya upelelezi ndiye anayepeleka mashtaka mahakamani.Na anayepeleka Mashtaka mahakamani ndiye aliyevamia kituo,sasa ni nani atakayemfunga paka kengele??
 
Nashukuru kaka Pascal M. kwa kuchangia hii mana,nashukuru kwa heshima yako hii.

Nirudi kwenye mada!

Mtuhumiwa hajaomba msamaha,it means alifanya akiwa na akili timamu na hajutii kosa wala haoni kama amekosea.

Pia,media zimepiga ban taarifa za RC,swali nani anafaidika na ban hii? Nani anafaidika na kutopelekwa kwa mashitaka sehemu husika?

Ishu ya Zenji,mambo mengi yameongelewa plus katiba tuliyonayo hairuhusu uraisi kupingwa mahakamani nk.
Mkuu DZUDZUKU,
Issue ya kuombwa msamaha was an open ended not a closed ended with time-frame ultimatum, hivyo msamaha unaweza kuja kuombwa wakati wowote hata mwakani na bado yuko right.

Hoja ya utimamu wa akili pía hoja ya msingi na kwa a quick analysis ya matukio yalipolekea uvamizi ule, dalili zote za mtu insane zimeonekana, hivyo nimeshauri,
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

Hili la media kususia habari za Bashite, haliwezekani, na nimelizungumza hapa

Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?.

La Zanzibar nimelizungumza sana, ni kweli urais haupingwi mahakamani, lakini kuufuta uchaguzi huru na wahaki bila sheria, taratibu na kanuni, kunapingika mahakamani.

Uchaguzi unaendeshwa na ZEC, hivyo Jecha kujigeuza ZEC kunapingika mahakamani.

Kupinga uchaguzi haramu wa marudio, kunapingika mahakamani na nimezungumza hapa, Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!

Paskali
 
Back
Top Bottom