Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,958 Dec 30, 2014 #1
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,910 Dec 30, 2014 #2 Mkuu mida tayari ya kupiga box mkuu.umeishaingiza mi dollars mkuu sasa uko home unatafuta usingizi ok swissme:
Mkuu mida tayari ya kupiga box mkuu.umeishaingiza mi dollars mkuu sasa uko home unatafuta usingizi ok swissme:
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Dec 30, 2014 #3 Hmmmmm! akikosea kubalance kaangukia ndani ya sufuria, hapo itakuwa patashika nguo kuchanika.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,958 Dec 30, 2014 Thread starter #4 swissme said: Mkuu mida tayari ya kupiga box mkuu.umeishaingiza mi dollars mkuu sasa uko home unatafuta usingizi ok swissme: Click to expand... MkuuKubeba Mabox na baridi ipo kali sana huku unachoka ile mbaya kuipata Euro au dollar sio kazi ya mchezo unapindishwa mpaka unakumbuka kwenu kuwa kuna raha kuliko Ughaibuni. Mkuu swissme usicheze an kubeba mabox. BAK said: Hmmmmm! akikosea kubalance kaangukia ndani ya sufuria, hapo itakuwa patashika nguo kuchanika. Click to expand... Hawezi kuangukia sufuria ni mzoefu huyo Mkuu BAK kazi yake anaijuwa barabara. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
swissme said: Mkuu mida tayari ya kupiga box mkuu.umeishaingiza mi dollars mkuu sasa uko home unatafuta usingizi ok swissme: Click to expand... MkuuKubeba Mabox na baridi ipo kali sana huku unachoka ile mbaya kuipata Euro au dollar sio kazi ya mchezo unapindishwa mpaka unakumbuka kwenu kuwa kuna raha kuliko Ughaibuni. Mkuu swissme usicheze an kubeba mabox. BAK said: Hmmmmm! akikosea kubalance kaangukia ndani ya sufuria, hapo itakuwa patashika nguo kuchanika. Click to expand... Hawezi kuangukia sufuria ni mzoefu huyo Mkuu BAK kazi yake anaijuwa barabara.