mama la mama
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 304
- 152
Wamekusikia....
Mwanmme akupende tu, atakuchukulia na mapungufu yako.
Mengine ni kujilisha upepo tu.
Na kiburi, lugha mbovu, tone, majibu mabaya ni athari za makuzi.
Mie nikikutana na mwanamme wa Pwani lazima azanie namfokea kunipandia juu, kumbe hapo ndio niko kwenye 'the very romantic voice of mine in spanish simulation'
Can't change my mother tongue for anything, this is who i am, take it or leave it.
Wewe utakuwa Mkulya, swali kali jibu kali ndio sera yenu.
Mkurya!
Tohanchane Marwa.
Kama ingekua wanawake wote duniani wana mawazo kama mama la mama dunia ingekua tamu sana na maisha yangekua mazuri sana.
Well said mama kila mwanaume anataka hivyo