Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu.
Msichana aliyesiliazi, mkristo, age <27 aliyepo singo elimu f4-bachelor. Askari na manesi siwataki.
Karibu.
Mambo haya nyerere ndio halikuwa hayataki
Ukabila ukabila ukabila
Kwa ajili umesema wewe ni msukuma........check PM yako.....
Nilidhani zari limeniangukia kumbe haututaki mapolisi?Haya bwana all the best
nimependa mstari wa mwisho. Like.
chukua 5
Sijui kwanini nilikuwa polisi aaaaargh fursa imenipita.
hivi kesho we ndo T.O.D?chukua 5
Sijui kwanini nilikuwa polisi aaaaargh fursa imenipita.
Sijui kwanini nilikuwa polisi aaaaargh fursa imenipita.[/QUOTE
Ndo hii nasema usihudhunike ninategemea kupost ombi hapa na mm lenye masharti nafuu
Hahaaaahahaaa Mkuu usichukulie serious hapa sio wote tumaanishao tuandikacho.
Hahaaaahahaaa Mkuu usichukulie serious hapa sio wote tumaanishao tuandikacho.
Sasa hii ni kukatishana tamaa. Mimi nilishajiandaa kuleta posa halafu unataka kuchomoa!? Hata sikubali, mimi n wewe hadi nione mwisho wake.
Sasa hii ni kukatishana tamaa. Mimi nilishajiandaa kuleta posa halafu unataka kuchomoa!? Hata sikubali, mimi n wewe hadi nione mwisho wake.
Mkuu CV yako tu iwe inaeleweka.
Sifa zote ninazo. Kilichonikimbiza tu ni ww kuwa msukuma.
Dunia hii kijana unaweza kujihisi ni mwanaume wa kweli kumbe huna lolote, ni wanawake peke yake ndio wanaowajuwa wanaume wa kweli. Take it as ur home work.