Hapo kama mchina hahusiki, atakuwa anahusika mjerumani. Siyo natural hata kidogo!Kumbukeni hapa mchina hahusiki
Mzigo unahamasisha ile mbaya. Watu wanafaidi Jamani!!!
Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka chelewa anavaa minskirt alafu huku juu ana bonge la mzigo anaonekana kituko lakini angevaa nguo nyingine hapo tayari angetengeneza mvuto wa kimapendi kwa jinsia ya upande wa pili.
Mwanamke shepu jamani
Hehehe, hata tv na pc za siku hizi ni flat both sides. Sony wega hoyeee!