mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

Mwanamke reception dadaaa!,sio sura inatisha mpaka ukimenya kitunguu badala we ndio utoe machozi,eti kitunguu ndio kinatoa machozi..
 
Reception ni sehemu ya kupita!!

Shepu (nyumba, chumba,sebule) ndipo watu wanapokaa. Poleni!!

LOL. Na kusaini mikataba. Reception ni sehemu tuu ya ku sign and out.
 
...Wala usihangaike banaa hii ni misemo tu utasikia mwanamke jicho, mwanamke guu, mwanamke ****, mwanamke kiuno yote tisa 10 ni tabia njema.

Lakini ka shepu na kareception si ndo vinawavuta kwanza au??
 
Mwanamke reception dadaaa!,sio sura inatisha mpaka ukimenya kitunguu badala we ndio utoe machozi,eti kitunguu ndio kinatoa machozi..
hahaaaaaaaaaaaaaaaa kama nakuona vile
 
Introduction haiwezi kuzidi umuhimu wa Main body. It is just a glimpse. Do u know what the main body is? Pale kati, kwenye utamu. Ok, bye! :car:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…