hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukiitaji mfadhili am here any time
mwanamke shepu banaaaaaaaaaaaaaaView attachment 44440
mi mzima vp ww mpz mwaka mpya uliuonaje?Ha ha mambo Aminata?
Unajua nini?hiyo yote ni kutafuta kuwafurahisha wanaume.Kwa nini asiseme mwanamke ni kuwa mama mzuri kwa watoto wake.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa pole mwaya we!Haya mambo ya mwanamke shepu, mwanamke sura siyataki kabisa siku hizi
Yalinikost sana sana
Niliropoka siku moja " mwanamke sura, makalio kwa mchina"
Afu kumbe neiba wangu nimemgusa 100% duh! aliwaka yule dada kama nimemtukania mzazi
Mie kimyaaaa.
Kila mkiongelea haya mambo ule mkasa unakuja kichwani upya.
bila shaka any time mkuu nitakua nawe bega kwa bega kuhakikisha wanaingia skul za kata wotePoa poa nafikiri hata mpango wa kuanzisha NGO's ili mtusaidie watu wenye familia kubwa nitakupa ushirikiano ili muweze kunisomeshea hawa watoto
mi mzima vp ww mpz mwaka mpya uliuonaje?
si wamjua isha mashauzi sizani ka anaweza kusema mwanamke ni kua mzuri kwa watoto wake hata siku mojaView attachment 44501
View attachment 44502
atakua anasema ivo kisa anajiona anasura ila chini hana kingine kinashabihiana na sura
yake mana chini mchina mtupu
View attachment 44503
hahaaaaaaaaaaaa ndio hua mm nikiwasikilizaga nacheka mpaka basi bora hata marehemu nasma kidogo afazali ingawa alikua bapa kidogo kwa backHa ha mwaka mpya poa tunashukuru kuuona.
Mi waimbaji wa taarab wananifurahishaga kwa confidance.Kuna yule dada yake Mzee Yusuph ana maziwa kuliko ya Isha lakini anavaa mwenyewe anapendeza acha,Au Khadija kopa na body yake ana jiamini mbaya.
Hatari lakini salamasasa ndio anakuambiaje isha mashauzi mwanamke sura mana hata ukiwa na umbo zuri utataka mwenzio awe nawe kwa bed huku kavaa sun glass hata kama ni night kali mradi tu asikuone sura ila mzigo anapiga ka kawa
Love u sana pia jamani lol,thanx mamito me love u so much
mmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! stay blessed
Msalimie Serena William, Tennis Star.
Mashaallah, I always love Sade wallahnaungana nawe mwanamke jicho............
View attachment 44519
mambo mpz vp mwaka huu uliupokeaje huko uliko mana duh!
dah.........mie sina hivyo vyote! Sijui niende kwa mchina??