dah.........mie sina hivyo vyote! Sijui niende kwa mchina??
...Wala usihangaike banaa hii ni misemo tu utasikia mwanamke jicho, mwanamke guu, mwanamke ****, mwanamke kiuno yote tisa 10 ni tabia njema.
mwanamke shepu banaaaaaaaaaaaaaaView attachment 44440
[h=6]ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,[/h]
[h=6]ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,[/h]
Mwanamke idara zote
View attachment 44441
ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,
ooooooh! cpendi wazungu naona hao walivo mablack americasanta sipo nyuma
View attachment 44449
unajua kumpooza mtu.........utamfanya mtu ajionee ka malaika sasaivi bure mi simo huko mana majineno kuntu hayo...Wala usihangaike banaa hii ni misemo tu utasikia mwanamke jicho, mwanamke guu, mwanamke ****, mwanamke kiuno yote tisa 10 ni tabia njema.
mwanamke unakuta mbele ka nyuma,nyuma ka mbele,yani anaenda ka anarudi.ndio walivo ila ka bapa ya nn kugeuka nyuma kukuangalia akajikwaa bure kisa kitu gani.............inatakiwa hata mtu ukijikwaa ukimuonesha mtu kua nimejikwaa koz ya kitu iki na yy anasema eeh kweli...............mana kuna watu akiwa anaenda na kurudi hata huoni tofauti iko wapi