Mwanamke, pita hapa nikuume sikio

Mwanamke, pita hapa nikuume sikio

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Wabeja sana.

Mwanamke subiri nikupe Siri moja ambayo wanaichukulia kama aibu kuwa na mwanaume wa namna hiyo.
Nafikiri kila mtu anaelewa mwanaume anayeitwa domo zege, hii ni Lugha iliyozoeleka sana humu jamvi ikiwa na maana ya mwanaume muoga wakutongoza wanawake.kwa utangulizi huo hapo juu ushauri wangu huu hapa.

1.Nakuomba uelewe kabisa yakuwa na mahusiano na mwanaume wa namma hiyo siyo chanzo cha wewe kudharaulika,.sifa za watu kama hawa wanadumu sana katika mahusiano ya mapenzi na ndoa. hawana papara yakuparamia wanawake ovyo, domo zenge hawezi kukuacha kama utumweshimu na kumtimizia mahitaji yake kama mume.

2.Asilimia kubwa ya watu hawa hawana tabia yakupenda starahe kama unywaji na pombe na starahe zingine, kila wanapotoka kazini tabia yao ni kuwahi nyumbani utafikiri wanazamu ya kupika.

3.Wana mipango na mikakati mizuri ya kimandeleo pamoja na kulea familia zao, hawana tabia ya kutumia pesa ovyo.


Kwa maelezo hayo utaona watu wanacoment.

for promotion use only

 
Ka we ni domo zege, sajili ID nyingine, afu anzisha thredi ya kutafuta demu.
 
Heee..tatizo tukiwatongoza kila dakika oooh wanaume tumezidi unaanza kupewa vimajina kama kiwembe.rukanao.fataki. na tena ukisema usitongoze ubaki na mmoja et domo zege which is which......
 
dah umenifanya.niwaze mbali sana
Inshallah

Bora wewe uliyewaza mbali, maana ni matatizo kuwa na mwanaume anayejindai mdomo wake ni mwepesi.

hafu asilimia kubwa ni wabeya sana na niongo muno.
 
Kuna usemi unama "bad boys are exciting to be around with, good boys can be boring".
 
Bora wewe uliyewaza mbali, maana ni matatizo [kuwa na mwanaume] anayejindai mdomo wake ni mwepesi.

hafu asilimia kubwa ni wabeya sana na niongo muno.
Shy land hapo kwenye red umemaanisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom