Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Umeongea kwel leo. hawa watu wakiwa wanaongea sana, kwanza wanatupanga msururu, pili hawana hofu, ASANTE kwa kunikumbusha.
dada yangu Tumboo kama bado hujaoelewa jitafutie domo zenge wako mmoja umeweke ndani, hatakuwa na karaha katika ndoa yako.
njion tu kafika nyumbani, atakuwa anakusaidia hata kukatata vitunguu na nyanya.
Heee..tatizo tukiwatongoza kila dakika oooh wanaume tumezidi unaanza kupewa vimajina kama kiwembe.rukanao.fataki. na tena ukisema usitongoze ubaki na mmoja et domo zege which is which......
Imeandikwa mwanaume ni kichwa cha family .......y akate vitungu??? Y awe domo zege??? Y nmuweke ndani na sio yeye aniweke ndan????
nipo hapa
Nishawi kusema humu ndani nikiamua natafuna wasichana wote.
Nilijua tu hamtokesekana watu mwenye mawazo kama yako.
Kuna usemi unama "bad boys are exciting to be around with, good boys can be boring".