Mwanamke piga mswaki hivi...

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Wakati nilipopata mwanangu wa kwanza nilibahatika kutunzwa na shangazi yangu ambaye alinambia mambo mengi yahusuyo afya ya uzazi na matunzo ya mtoto. Alinambia kitu hiki(Naomba tushee)..Kwamba uke hutanuka ( ndio maana tunaweza kumtoa kiumbe mwenye viungo kamili . Na pia baadae husinyaa[ japo haitakuwa kama pale mwanzo kabla hujazaa] akanambia kuna kazi /zoezi rahisi kurudisha maumbile ya kike katika hali nzuri. Wakati wa kupiga mswaki hakikisha unasafisha vizuri kinywa chotee...na hakikisha unagusa kidogo sehemu ya mwisho ya ulimi yani karibu na koo. Hii itakufanya ustuke kidogo ambapo automatically utabana misuli ya tumbo na misuli ya uke.Kwa maelezo yake anasema ni zoezi linalosaidia hata kusaidia damu kutoka wakati wa mzunguko wa mwezi...na wakati wa damu ya uzazi. .jambo linalisaidia kutoa uchafu na kupunguza maumivu..Nimekuwa nikifanya sana hii kitu.. zoezi la kustua mswaki... mwisho wa ulimi. nadhani ni zoezi kama lile la PC...etiii eeee
 
Huko kustuka mara watapika yakheeee...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wanawake tuna kaziii...... Mweeh!
 
Seriously? Hapana bwana, hii sio genetical kama kuroll ulimi. Kitu chochote ukikifanyia mazoezi baada ya muda utaweza tu.

mimi hata nikiwa kwenye boring meeting, najifanyia kegel's exercises nisije nikadata (well, i am not crazy, i am just special)
si kila mtu anaweza hii🙂 usiniulize nimejuaje.
 
Google bwana, acha uvivu

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/666633-mazoezi-ya-msuli-wa-pc-ufanya-uke-kuwa-mnato-na-usaidia-misuli-ya-uume.html#post9707369
Kegel's exercise ndo ikoje hiyo wangu??
 
ha ha.ha, wewe ni special in a crazy way.

Mkutanoni? Siku moja usije kam hazarani, hilo zoezi ni hatare.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…