chorid
Member
- Mar 5, 2019
- 37
- 37
Woiiiii😀in MAMA RWAKATARE VOICE
Mashalah
Mvutishe ganja huo mdomo uwe mweusi kidogo
Huo weupe kwenye lips unanitatiza
Yaaani,.tena mmenyata balaa woii😂😂😂kwaiyo tusio na waume ni wabaya au?
Rudi ndani ya mada mkuuHakuna kitu mnaniudhihumu jf kusifia ujinga!
Tushawaambia: mwanamke hasifiwi uzuri nje ya mashindano ya urembo. Nje ya mashindano, kila mwanamke ni mzuri.
Kumsifia mwanamke kama bidhaa ni uzalilishaji usiomithilika.
Sasa huyo mzuri, wengine ni wababaya?
Uzuri wa mwanamke haupo specific.
Kama ni sura, kila amuangaliaye mwanamke, kunakitu anachovutiwa nacho, ndiyomaana ya kusema uzuri wa mwanamke umo machoni mwa ampendaye.
Kwa hiyo kila mwanamke ni mzuri na mrembo kuliko unavyodhania wewe.
Kichwa cha mada kinasemaje eti...??Yeye kazungumzia "urembo", urembo na uzuri ni vitu tofauti.
Uzuri ni kuhusu tabia na urembo ni muonekano wa kuvutia wa mwili.
Unajifanya hujui kuwa una sura ya baba.kwaiyo tusio na waume ni wabaya au?
Kichwa cha mada kinasemaje eti...??
Basi mm nimejibu kama kichwa kinavyosema,.Kinasema; "Mwanamke NZURI huyu jamani".--- ilistahili kiwe; "Mwanamke mrembo huyu jamani".
Hakuna kitu mnaniudhihumu jf kusifia ujinga!
Tushawaambia: mwanamke hasifiwi uzuri nje ya mashindano ya urembo. Nje ya mashindano, kila mwanamke ni mzuri.
Kumsifia mwanamke kama bidhaa ni uzalilishaji usiomithilika.
Sasa huyo mzuri, wengine ni wababaya?
Uzuri wa mwanamke haupo specific.
Kama ni sura, kila amuangaliaye mwanamke, kunakitu anachovutiwa nacho, ndiyomaana ya kusema uzuri wa mwanamke umo machoni mwa ampendaye.
Kwa hiyo kila mwanamke ni mzuri na mrembo kuliko unavyodhania wewe.
Nahisi umeangukia kwenye kundi hili na umepigwa pipe mpaka umekuwa na handakiManeno ya mkosaji.
Na wa hivi humpati ng'o
Hahhahahahahaa ata sijifanyi najua kabisa na sura ya baba anguUnajifanya hujui kuwa una sura ya baba.
Mbona unanitesa hivi kusakua comments zako?. Please please tag me.Mwanamke mzuri mwenye mume![]()

Wa kuivumilia ushampata?Hahhahahahahaa ata sijifanyi najua kabisa na sura ya baba angu
SeenBasi mm nimejibu kama kichwa kinavyosema,.