Mwanamke Nyongaa...

mwanamke nyonga maana yake kiuno kama panga boy.au feni. Yaani akianza kuikata basi itakuwa nomaaa! Kuna watoto wanaitwa baikoko kutoka Tanga.wao wanadai kiuno au nyonga wamepewa na mamazao.
 
aaah! Haya ni maneno tu, bila shaka asili yake ni pwani kwa wazaramo na wakweree wapenda segere, unyago na mahaba. Hawa watu hawapo serious, muda wote wanawaza mapenzi na manyonga. Kwa mtu wa bara kama mimi a.k.a muraaa hv vtu vinanipa wkt mgumu sana kupata maana yake.. Mwingine jena nimesikia akitamka abt KIDUMU/VIDUMU ktk thread flani, inatuwia ugumu kupata logic ya haya mambo, msaada wa wataalam na wajuzi wa haya mambo hapa huwa muhimu!
 
Wewe Gagurito kama umezoea kukamata tu hiyo ni issue nyengine.

Mimi naona wanaojisifia kulala na wanawake mara kadhaa kwa siku ni makabila yote na siyo Wazaramu au Wakwere tu.
 
Sasa wewe CPU hapo unanipa kidhungudhungu! Pangaboi tunalijua Kwa kidhungu si linaitwa Fan??................Sasa" CHIMBAA" nadhani ni lugha ya kwenu kijijini misugusu.Hebu toa trafsiri hapo:confused2:
 
Kama HALITAMKIKI hapa JF nahisi sihitaji kugharamika hadi huko njenje kutafuta maana.
 
Huu msemo "mwanamke nyonga" una maana gani ndugu ? Je ni fumbo au lugha fasaha? je kwa mwanaume inakuwaje? Tusaidiane kueleweshana!


Kimaumbile
Nyonga ndo sehemu/kiungo pekee chenye,(ukiachilia mbali tofauti za baiolojia zetu),
kumtofautisha mwanamke Vs Mwanaume,
unaweza kuta mwanaume ana sura nzuri,
hips, makalio makubwa, nywele nzuri,macho ya kurembua,
midomo ya kunyonya, sauti ya kuvutia, matiti na vikolombwezo,
vingine vyote tena pengine kumzidi hata manamke!!!!!
Lakini ni nyonga pekee itakayomtofautisha kati yake na mwanamke,
Mwanamke ataonekana ni mwanamke kwasababu ya NYONGA YAKE........

Kingono
Wataalam wengi wanasema kuwa ni nyonga peke yake,
ndo inayoleta ladha ya kingono katika 6 kwa 6 kwa upande wa mwanamke,
hata kama ukiwa na mazuri yote sehemu nyingine, lakini nyonga ndo mwisho wa reli,

Karibuni kahawa wapendwa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom