Mwanamke Nyongaa...

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Huu msemo "mwanamke nyonga" una maana gani ndugu ? Je ni fumbo au lugha fasaha? je kwa mwanaume inakuwaje? Tusaidiane kueleweshana!
 
Huu msemo "mwanamke nyonga" una maana gani ndugu ? Je ni fumbo au lugha fasaha? Tusaidiane kueleweshana!

Nyonga ni katikati ya tumbo na kiuno ambapo mwanamke umbo linagawika na kuwa kama umbo namba 8.
Umeona nane hiyo ndo nyonga yenyewe inajazia mpaka wanaume wakwale wanatoa mate wakiiona.
 
Sasa umbo namba 8 na chupa ya bia wap na wap? Kweli kiswahili kimepanuka!
 
Wataka kujua mwanamke nyonga? Tafuta wale wadada wa Khanga moko ndembendembe. Wako pande za Mwananyamala.
 
dah! Haya mambo yanachanganya sana! nadhani watanzania wa miaka ya 47 kwa mwendo huu wangechemsha!
 
Nimewahi kusikia mademu wa kizenji ambao (kama sikosei) wengi kati yao hawana maumbo na. 8 wakiitumia msemo huo kumaanisha "ubora wa mwanamke upo katika kulitumia eneo la kiuno ili kutoa raha kwa bwana.." na kuongezea "...makalio ni majaaliwa" kwa kuwa wapo walionayo na wengine hawana.

Nyonga kila mwanamke anaweza kuitumia (akiamua ama akifundishwa vizuri) tofauti sana na kuwa na umbo yaani figure na. 8 au 6 (kwa wale wenye mizigo mikubwa chini ya mgongo)....Unajua tena......! Sir God akiumba si rahisi mwanadamu kubadili.
 
:confused2:
Nakumbuka kibailojia tulifundishwa kuwa mojawapo ya dalili za binti kubalehe ni "kutanuka kwa nyonga",hiyo namba nane ahiusiani na nyonga.Nadhani nyonga ni baada ya kiuno na kabla ya mapaja.
 
afu mwanaume nini?????
mnatutumia sana wanaume kama watumwa wenu......:shut-mouth:
 
The Analyst 06:39 PM Today Nimewahi kusikia mademu wa kizenji
ambao (kama sikosei) wengi hawana
maumbo na. 8 wakiitumia
kumaanisha "ubora wa mwanamke
upo katika kulitumia eneo la kiuno ili
kutoa raha kwa bwana.." na kuongezea "...makalio ni majaaliwa"
kwa kuwa wapo walionayo na
wengine hawana.
Nyonga kila mwanamke anaweza
kuitumia akiamua ama akifundishwa
vizuri tofauti sana na kuwa na umbo yaani figure na. 8 au 6 kwa wale
wenye mizigo mikubwa chini ya
tumbo jembamba. ....Unajua tena......!
Sir God akiumba si rahisi mwanadamu
kubadili.
Mkuu hapo sasa naanza kuelewa!
 
:confused2:
Nakumbuka kibailojia tulifundishwa kuwa mojawapo ya dalili za binti kubalehe ni "kutanuka kwa nyonga",hiyo namba nane ahiusiani na nyonga.Nadhani nyonga ni baada ya kiuno na kabla ya mapaja.

Nyonga kwa Kiingereza ni hip(s)! Nadhani pengine hii itasaidia watu kuelewa nyonga ni nini.
 
afu mwanaume nini?????
mnatutumia sana wanaume kama watumwa wenu......:shut-mouth:

Usisome katikati ya mstari my dia
Hakuna nia yoyote ya kumfanya mwanamke mtumwa kwenye hii mada
Take it easy
 
Back
Top Bottom