Mwanamke Nyongaa.... Katikaaa Katikaaa.....

Hahahahahahaaa he really does....

And when he miss me, he just emoji me and I know what he needs. Naanza kumuimbia huku nacheza kuch kuch otahee hehehehehe

Viuno sasa na madoido kama nanihii hehehehehehee

Kasie Matata.
Hahahaaaa
 
Kuna siku ilijiita wife material na ukaja kutuaminisha ilibaki kidogo nije PM ila machale yakanicheza
 
Kuna siku ilijiita wife material na ukaja kutuaminisha ilibaki kidogo nije PM ila machale yakanicheza

Mimi huyoooo, Kasinde wa Matata nilijiita wife material..... mmmhh nachelea kusema huyo alikuwa anayeninakili na si Kasie mie.

Na labda hukuwa unafahamu, Kasie hana mpango wa kuolewa wala hatafuti mume. Am just enjoying life the way it comes ......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…