Mwanamke Nyonga Babu. Ni Nini?

Mzee unajua wale watoto wa huku kwanza wanafundwa jinsi ya kumjali mwanaume yaani mpaka unachonga mzinga kabisaaa yaani wanajua kupenda na wanajua mapenzi ni nini yaani we acha tu.

Inamaana yale yanayoimbwa kwenye taarabu wanayapractice kiukweli? watupa ushuhuda ulioenda shule. Ulikua makorora au Chumbageni? Najua mitaa fulani ya kwaminchi pale kati.
 
Aisee we Yo Yo-
Hebu badilisha huyo Inzi wako. Anatia kichefu chefu... weka picha nyingine tafadhali!!!

Mdau Kawe.
 
sorry mkuu.....hii avatar mashori wengi wanaipenda na ndio wametaka niiweke.....
 
Inamaana yale yanayoimbwa kwenye taarabu wanayapractice kiukweli? watupa ushuhuda ulioenda shule. Ulikua makorora au Chumbageni? Najua mitaa fulani ya kwaminchi pale kati.

Kuna sehemu inaitwa ''chumvini'' iko njia ya kwenda mombasa, inaonekana jamaa alikuwa huko!!!! teh teh teeeeeeeehhhh!!!!
 
I see!!!! kumbe ndio maana kasifia sana maumbile yao. Ni kweli lakini. Kama sio mdigo basi jamaa alipata mgunya. Ila "usituzeveze" hahaha! wanakiswahili cha nadra hao some times!
 
Tehi,tehi, teheee!!!
Hata mie ninahamu sana na dem wa kitanga ili nione tofauti na wabara. Na mwendo ni uleule hadi uvinza watu tunazama!Kama kuna mmoja humu hapa ndani ani Pm tafadhali.
 
Inamaana yale yanayoimbwa kwenye taarabu wanayapractice kiukweli? watupa ushuhuda ulioenda shule. Ulikua makorora au Chumbageni? Najua mitaa fulani ya kwaminchi pale kati.

Hehehehe mkuu usiombwe ukapendwa na mtoto wa Kitanga dah utasahau kwenu yaani wanajua kujali kukuthamini yaani mzee dah we acha tu kwakweli watoto wanayajua mapenzi iwe bedroom au nje ya uwanja kwakweli wamefit pote.
 
Mimi nawafagilia sana jinsi wanavyozungumza. Watoto wana kiswahili kitam sana mkuu. Halafu mapishi ya nazi wayajulia haswa! Samaki aina ya changu na chapati. Pia akuogesha,akufuta maji na kukuvika khanga, kesho yake unaweza ukasahau kwenda job. Wenyewe husema "Tanga Raha" na basi lao maarufu toka Dar laitwa "Raha Leo". Kama sio kuchizika hapo basi utarukwa na akili. Huoni wala husikii kitu mwanawane.
 
wenyewe wanasema "mwanamke nyonga makalio majaaliwa" sasa hapo sielewagi elewagi vile...
hapo Kaizer umesema , ndio hasa ulivyo huo msemo.
mwanamke nyonga makalio majaaliwa ,
nyonga inayosemewa hapa sio muonekano wa kiuno chenyewe , kinachomaanishwa hapa ni ule uwezo wa mwanamke whether ni namba nane ,saba au tisa au moja haijalishi kinachojalisha ni uwezo wake wa kuizungusha hiyo nyonga iwe kwenye muziki au sita kwa sita.
ndo maana wakasema mwanamke nyonga kwa maana kwamba hata usipojaaliwa hayo makalio makubwa unaweza ukajaaliwa kuzungusha kiuno en thats all counts to them, na pia waweza kuwa na makalio kama furushi na pia ukashindwa kukizungusha kiuno.
upo hapo fidel hiyo addiction yako ya kupenda kujiexpress yourself has nothing to do with this statement.
 
Best answer!
Kweli hilo jibu limemaliza kila kitu mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom