The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Ni kawaida kwa mwanaume kuomba ngono katika mahusiano, ila ujue kuwa kumpa au kutompa hakutomfanya adumu kwako. Hivyo uhuru wa kumpa au kutompa unabaki kwako. Ngono pekee haitoshi kumfanya mwanaume adumu na wewe Sex isn't enough).
Kuna mambo mawili ambayo wanawake hulalamika sana kuhusu ngono katika mahusiano:
1. Baada ya kumpa mwili wangu amenitumia na kunichezea kisha ameniacha. Kumbe alichokuwa anataka kwangu ni ngono tu, hakuwa na malengo na Mimi.
2. Ameniacha kwa sababu nilimnyima ngono.
Wanawake nisikilizeni tena, ngono pekee haitoshi kumfanya mwanaume adumu kwako. Ngono si kitu pekee cha kutegemea kama silaha yako ya mwisho ya kulinda na kudumisha mahusiano.
Kama huna kitu kingine cha kuchangia au kumpa mwanaume katika mahusiano zaidi ya ngono (sex), wewe baki single tu.
Kuna vitu vingi mwanaume anahitaji katika maisha na mahusiano zaidi ya hizi Doggy style, Monkey style, Missionary style, step pillow style, mbuzi kagoma kwenda, chuma mchicha, popo kanyea mbingu, step pillow style, apple and juice style n.k.
Wanaume wanapenda mwanamke mzuri kweli lakini mwenye akili (intelligent and beauty with brain ladies).
Wanaume wanapenda mwanamke mwenye mipango ya kukuza uchumi na kipato (ladies with ideas).
Wanaume wanapenda mwanamke mwenye heshima, mwenye adabu na nidhamu. Mwanamke anayejiheshimu ni chaguo la kwanza kwa mwanaume (respectful ladies).
Ngono ni bidhaa rahisi sana siku hizi, kila mtu anaweza kuipata bure au kuinunua kwa bei rahisi sana. Mwanamke usiitegemee kama silaha yako kuu ya kulinda mahusiano yako.
Mwanamke jijenge zaidi ya kutegemea ngono kama silaha.
Mwanamke achana na make ups uwe mwanamke mzalishaji
Wanaume wanatafuta wanawake wazalishaji, wenye mipango na mawazo chanya, wenye suluhisho la changamoto za hapa na pale za kiuchumi na sio wanawake wanaoamini katika makalio makubwa na make ups.
Wanaume wanachotaka ni urembo na akili (beauty with brain) sio urembo bila akili (beauty without brain), sio make ups na makalio makubwa sambamba na hips kubwa pengine na maziwa makubwa lakini kichwani hamna kitu. Dada yangu kila mwanaume utamuita mbwa maana soko lako litakuwa gumu sana licha ya urembo wako.
Mwanamke huu ni ukweli mchungu unaouma lakini ukiumeza utakuponya maana ndio dawa inayoponya.