justuce John
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 206
- 222
Kwa nn huvai condom utakufa siku sio zako aisee dah!Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ushauriKwa nn huvai condom utakufa siku sio zako aisee dah!
Usitembee nao bali kimbia nao.Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelekeo wa Unakotembeaga nao!
Utawapata Wengi humu kwahiyo Tecnique yako!!Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
HIV hawako mbali, soon utaanza homa za mara kwa mara.
Kumbe!! Lakini nimepima! Na siwezi kwenda namwanamke bila kupima, huwa sina haraka napapuch
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa una watoto wangapi?Kumbe!! Lakini nimepima! Na siwezi kwenda namwanamke bila kupima, huwa sina haraka napapich
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendagi wakwenye mitandao mkuuUtawapata Wengi humu kwahiyo Tecnique yako!!
hadi sasa umetembea na wangapi na wanawake wangapi wamepata mimba, na wanangapi wamezaa na wangapi bado na una watoto wangapi?Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app