Mwanamke nimekutana naye ndani ya saa 2 akanitaka

224049813f77bb633bce7276bd53eac6.jpg
 
Hii posti inafanana na za mdau mmoja ambae sijamuona muda mrefu sana humu ndani
 
Mimi niliwahi kupanda daladala kutoka posta, kufika stesheni akaingia binti mmoja akaja moja kwa moja kukaa kwenye siti niliyokaa. Kufika buguruni tukawa tumesha kubaliana tushuke tukagegedane. Tulishuka tukaingia gest moja iliyokuwa jirani na iliyowahi kuitwa Y2K. Alikuwa mtamu sana. Baada ya hapo tukapanda daladala ingine na kushukia mchichani, kumbe wote tulikuwa tunakaa usawa Wa kiwalani. Wakati tunatembea kufuata Barbara ikiyokuwa inachepuka kuelekea kiwalani usawa Wa kiwanda cha Azania, akaniambia Mme wake yuko nyuma yetu anakuja amepanda baiskeli, akaniambia nisigeuke nyuma niendelee kutembea. Jamaa alitupita kasalimiana na mkewe kisha kaendelea. Sikufutana na yule binti tena, nilielekea vingunguti. Ila binti alikuwa mtamu mno.
Hatari sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom