Mwanamke ni kiumbe muhimu. Tumheshimu, tumjali, tumpende, tumtunze

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Dunia hii kama isingekuwa na mwanamke isingejaa watu tena ingekuwa ukiwa!! Adamu mwanaume Wa kwanza alijiona mpweke!! Hata mwenyezi Mungu akaona si vyema akae peke Yake!! Mwanamke ni kiumbe mhimu sana kwetu sisi wanadamu kwa wakubwa na wadogo pia!! Ndo maana hata MTU mzima akiumia utasikia akimwita mama yake!! Viungo vya mwiki wake ni mhimu kwa wakubwa hata wadogo pia!! Maziwa yake yanamtunza mtoto mpaka anatembea tumbo lake ni nyumba ya watoto kuishi na ni offisi ya Muumba!! Jamani mwanamke ni wakupendwa na siyo wakupiga!! Hata kama anaumwa bado atajitaidi kumtunza mwanae na mumewe!!hunyonyesha hata kama anaumwa !! Baba Wa mtoto kwa sababu hawezi kunyonyesha utashangaa anamchukua mtoto kumpeleka kwa mkewe ili aweze kunyonya!!

Mtoto mmoja akiwa na wazazi wake alisikika akisema: afadhali kitambi cha mama maana anapokuwA na kitambi utashangaa anazaa mtoto lakini kitambi cha baba kiko kila wakati hakiishi na sijaona akizaa mtoto !! Kwa mantiki hiyo kitamba cha wanaumwe hakina maana!!

Leo ni siku ya wanawake!! Hivyo tushirikiane wote kuwajali kuwaheshimu na kuwapenda!!
 
Happy women day mungu awalinde, awajalie maisha marefu i love mama yangu
 
Wanawake bila wanaume pia ni majanga mkuu.

Tunaishi kwa kutegemeana kila jinsi ME/KE zinategemeana.
Akiondoka mmoja utaona umuhimu wake kwa hiyo hapo ni ngoma droo.
 
Hahahahaaa!!! SAWA!! Lakini mwanamke ni mhimu sana aiseee!!!
 
Wanawake wana uvumilivu tu kuliko sisi kina Baba.
Anakufumania unachepuka halafu bado anaendelea kuishi na wewe.
Hapo ingekuwa ndio BABA anamfumania mke wake nadhani ndio mwisho wa ndoa umefika.

HAPPY WOMEN DAY.
 
Tunakuunga mkono 100/100. Haki na heshima za Wanawake zizingatiwe. Wanawake na watoto wapewe kipaumbele kwa ujumla kwenye huduma za kijamii.
 
True. But Ili kubalance inabidi ianzishwe siku ya wanaume.
Hapana, kuwepo siku ya wanawake maana yake wanataka tutambue uwepo wao,wanajiona kama hatuwaoni ama kuwathamini, siku ya wanawake ni siku ambayo wanajitangaza kwetu wanaume tuwajue, kuwajali na kuwakubali kwamna wanaweza kufanya kila kitu.

wanaume hatuna sababu ya kujitangaza kwa wanawake so hatuna kilichopungua, na hii ni kwa mujibu wa vitabu vya dini, ambavyo viko juu ya sheria zote duniani
 
Wao wanajiheshimu? Wanajitambua? Wanajielewa? Mimi nabaki na Biblia wao wabaki na siasa. Biblia imemfananisha mwanamke na alivyo malaika, malaika tunaambiwa wanamheshimu na kumtii Mungu.
 
Mleta hoja unataka tuwaheshimu wanawake wote!? au unamaanisha nn? Kweli kuna wanawake wanastahili heshima! kama mama yangu mzazi! na wengine! lakini sio wote! wengine hawajitambui! sasa unapolazimisha heshima kwa mpumbazu ni sawa na kuomba mvua wakati wa mavuno! kumpa mwanamke heshima asiyekuwa na akili ni sawa na kumuvisha nguruwe pete ya dhahabu! tuwape heshima wanaostahili heshima! tuadharau wasio jiheshimu!?
 
Mwanamke bora kwangu mke wangu kipenzi
Mwanamke muhimu kwangu make wngu kipenzi
Mwanamke naempenda zaid make wngu kipenz
Mwanamke naemfikiria sana mke wngu kipenz
Mwanamke anaenihangaisha na kutafuta sana maisha mke wngu kipenz
Mwanamke Naemuhusudu mke wngu kipenz
Mwanamke anaeniua kindakindaki mke wngu kipenz..... Heshima kwenu wanawake wakiongozwa na mke wngu,mama yangu na wote niliowapitia ujanani.
 
Mleta hoja unataka tuwaheshimu wanawake wote!? au unamaanisha nn? Kweli kuna wanawake wanastahili heshima! kama mama yangu mzazi! na wengine! lakini sio wote! wengine hawajitambui! sasa unapolazimisha heshima kwa mpumbazu ni sawa na kuomba mvua wakati wa mavuno! kumpa mwanamke heshima asiyekuwa na akili ni sawa na kumuvisha nguruwe pete ya dhahabu! tuwape heshima wanaostahili heshima! tuadharau wasio jiheshimu!?
Hapo umezungumzia mama yako mzazi je kuna ambaye hampendi mama yake?je kuna MTU ambaye hakuzaliwa na mwanamke?je mama yako akiwa hajitambui kwangu je kwako pia utampuuza
 
Back
Top Bottom