gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
umekosea siyo mwanamke huyu ni mkaka ila kawaambia ukweli wenzie wote.kibweka wewe lazma ni mwanamke ulielazimishwa kuwashiwa pasi kwa nguvu, ukapata mauchungu, mwanaume asingeweza kusimulia hivi. hata hivyo umegusa pande nyingi. lkn mke wangu anatabia baada ya sex anasema asante mume wangu hata kama sijafanyakazi kubwa, naomba utabiri wako hapo
kuhusu mkeo kusema asante ni tabia njema ambayo mkeo anayo. iko hivi mwanamke yyte mwenye heshima kwa mumewe basi ni mwingi wa shukuran hata ukimbusu tu atakwambia asante mume wangu na ndivyo inavyotakiwa. hii ni tofauti na hawa wa siku hizi ambao kwao mapenzi ni biashara ukimpa hela ndo anasema asante ila mtombo mzuri hana shukurani.